Mkianika chupi zenu nje muwe mnazifunika, tunaumizana jamani...!

Dah hakika hata mim huwa zinanitesa chupi zilizoanikwa hadharani bila kificho napatwa na tashwishwi
 
Kama ambavyo wewe hujenga picha umesababisha na mimi nijenge, tena mimi nimejenga mbili, moja ya hivyo vyupi na nyingine ya pa**chi wakati ungeweza kufanya busara ukarushia na kapicha tuu hapo ili na mimi nijenge moja.
Kuwa serious mkuu, weka picha. Narudia tena weka picha.
 
bora hata leo nisilale na shuka leo(mimi sio nabii ila najua kitakachotokea) huu uzi hauna picha lakini ni hatari-mara shanga, mara.......
 
Yaaani.. daaah. Nimemmiss mkurya wangu ghafla daaah.. hapa ndo napoumia kukumbuka niko single na itachukua muda kumpata kama mkurya
Mkuu sidhani kama kuna haja ya wewe kuendelea kuumia,mafundi wa hizo mambo tupo,karibu tuzitatue changamoto na hakika hautajuta
 
No noo mkuu hilo ni tatizo lako mwenyewe, mbona wengine tukiziona tunapata kichefu chefu,!
Labda kama huwa unaziona zikiwa chafu mkuu,lakini kama ni safi zimeanikwa halafu unapata kichefu chefu basi utakuwa una tatizo la usimamishaji nguzo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…