for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,397
- 4,436
Hzo ni mpya hazjaangukiwa na ute kwa pale chini hazina stimuMambo si ndio hay banaView attachment 860059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hzo ni mpya hazjaangukiwa na ute kwa pale chini hazina stimuMambo si ndio hay banaView attachment 860059
Mbona inaonekana ziko sokoni mkuu?Mambo si ndio hay banaView attachment 860059
Ha ha ha so kwa kuwa bado hazijavalia hazivutii?Mbona inaonekana ziko sokoni mkuu?
Kweli kiheshima si tabia nzuri kuweka sehem ya wazi chupi.Mchana mwema wakuu,
Unapita sehemu unakuta kamba imejaa vyupi hatari vya rangi mbalimbali,wengine tukiziona zile tunaanza kujenga picha ya papuchi,baada picha ku-develop kichwani mshedede unapata taarifa kisha unatutumka kama kitu gani sijui.
Enyi wanawake wenye tabia hii mnatupa tabu sana,nashauri mkianika basi chukua mtandio ama kanga funika vifuniko vya asali hivyo.
Wanatupa tabu sana hawa viumbe,ila kuna wachache sana wakianika nje wanazifunika na nguo nyepesi.Kweli kiheshima si tabia nzuri kuweka sehem ya wazi chupi.
Hahahaha umenena vyema mkuu,chupi ambayo haijavaliwa ni sawa na mchele hata ukiwa na njaa kali ukiuona mchele huwezi tamani chochote tofauti na uone cha mtume kipo kwa sahani.Hzo ni mpya hazjaangukiwa na ute kwa pale chini hazina stimu
Ha ha, mkuu nikikuta comment zako za kukazia hua nacheka sana. Aisee jf raha sanaNakazia
Mi nikiona hiyo nakazia tu nacheka sana, huyu mutu ni comedy hatariHahah ila ww mtu nikionaga avatar yako nacheka mm yaani
Mkuu kwa kifupi chupi ambazo bado hazijapata tabu na joto la mgodi wa uvinza wala hazina shida hivyo viwanda na wauzaji waendelee na mishe zao.Nifunike kwasababu gani? Kama hivyo wauzaji wafunike na viwanda vyakuzalisha hizo nguo viajiri wanawake tu. Nguo za ndani zinahitaji mwanga wakutosha kuepuka magonjwa. Ndio maana wanawake wengi mabafu yananuka uvundo chupi zimebebeshwa hazikauki, kutwa mahospitali kunywa dawa za fungus.
Kuna wenye maeneo makubwa wametenga sehemu ya nje maalum kuanika ila sie wa uswahilini toa nje.
Hadi zivaliwe kwanza ndio zitaleta amsha amsha mkuuHa ha ha so kwa kuwa bado hazijavalia hazivutii?
Eewaaaaaaaa. Maneno kuntu haya Dada.Wasamehe mkuu hawajafundwa hao mwanamke uliyefundwa ukianika chupi zako nje lazima ufiche na khanga juu au chochote ili chupi zisionekane
Mmmh. Pole aisee.Wengine udhaifu upo kwenye vyupi na shanga sasa tunapoviona katika mazingira ambayo si rafiki huwa tunaathirika
Eewaaaaaaaa. Maneno kuntu haya Dada.
Sababu kila mmoja ana pichu sasa wanapozifanya maonyesho mie nashindwaga kushangaa.
Hahaaa. Kabisaaaaa.Sio kosa lao dada akee hawajafundwa hawana wajualo
Wachaaaaa. 😀😀😀Shukrani sana mkuu,tunapambana na hali zetu huku dasalama