Mkianika chupi zenu nje muwe mnazifunika, tunaumizana jamani...!

Kweli kiheshima si tabia nzuri kuweka sehem ya wazi chupi.
 
Kweli kiheshima si tabia nzuri kuweka sehem ya wazi chupi.
Wanatupa tabu sana hawa viumbe,ila kuna wachache sana wakianika nje wanazifunika na nguo nyepesi.
Ila micharuko ndo kwanzaaa wanazibana na vibanio ili zionekane vizuri shubaaaaamit zao.
 
Hzo ni mpya hazjaangukiwa na ute kwa pale chini hazina stimu
Hahahaha umenena vyema mkuu,chupi ambayo haijavaliwa ni sawa na mchele hata ukiwa na njaa kali ukiuona mchele huwezi tamani chochote tofauti na uone cha mtume kipo kwa sahani.
 
Mkuu kwa kifupi chupi ambazo bado hazijapata tabu na joto la mgodi wa uvinza wala hazina shida hivyo viwanda na wauzaji waendelee na mishe zao.
Pili kuanika nje sio tatizo mkuu,tatizo linakuja pale mnapoziachia wazi wazi tunaziona na kutuletea fedheha hasa sisi marijali.
Wala hakuna mahali nimesema msianike nje bali nimesema mkianika basi mzifunike na nguo nyepesi kama vile mtandio mbona zitakauka tu bi dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…