Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Ndio shida. Hakuna radha ya uongozi. Uongozi wa ushindani haupaswi kuwa wa kibaguzi.Mbele ya watu kama Wasira na wahafidhina wengine hoja yako isha expire kabla haijajadiliwa
Ulizia wataalamu wa afya kuwa umri ukiwa mkubwa unahusiano wowote na nguvu, akili na uzuri wa matendo?Tunapenda kuongozwa na mabimkubwaz
Waruhusu hata Mgombea binafsi, tuwapime hao wanaojiona wamevurugwa.Kwa Tanzania tutapata akina Sabaya tupu bora umri uongezwe iwe hata miaka 80 tupate akina Warioba wenye hekima na busara
Vijana wa Kitanzania wana mihemko. Imagine mtu kama sabaya awe rais asiwe na mtu wa kumzuaia chochote. Haki....Kwa Tanzania tutapata akina Sabaya tupu bora umri uongezwe iwe hata miaka 80 tupate akina Warioba wenye hekima na busara
HaaUnataka aumie na bodaboda. Muwe na rais boda
Hawezi CCM itakufa mazimaWaruhusu hata Mgombea binafsi, tuwapime hao wanaojiona wamevurugwa.
Kwa Tanzania haiwezekani tuwe 80 na kuendeleaVijana wa Kitanzania wana mihemko. Imagine mtu kama sabaya awe rais asiwe na mtu wa kumzuaia chochote. Haki....
Uongozi hautaki hisia. Hasira, tamaa na Uongo kila mtu anaweza jizuia huhitaji hata mtu au watu.Vijana wa Kitanzania wana mihemko. Imagine mtu kama sabaya awe rais asiwe na mtu wa kumzuaia chochote. Haki....
Mnataka tuendelee kupata uzoefu wa nusu mlingoti mara ngapi?Kwa Tanzania haiwezekani tuwe 80 na kuendelea
Urais unahitaji mtu matured kidogo ambaye ashazoea zoea madaraka kidogo. Ukimpa mtu madaraka makubwa mabyo hayajazoea, yanamlevya anaweza sana. Ni kama from no where masikini ashinde bilioni.Uongozi hautaki hisia. Hasira, tamaa na Uongo kila mtu anaweza jizuia huhitaji hata mtu au watu.
URAIS sio Ajira Baba. Hii ni changamoto tukiendelea kuwaza hivi siku zote.Sikuungi mkono
Iwe hata hamsini huko
Sasa mtu anastaafu ana miaka 40 , baada ya hapo anaenda wapi?
Ndo chanzo cha kuwa na tamaa , hapo baadae atatamani tena agombee ..
Kwanini hofu ni kubwa sana kuliko uhalisia. Lini tulikuwa na RAIS kijana akaleta hayo?Urais unahitaji mtu matured kidogo ambaye ashazoea zoea madaraka kidogo. Ukimpa mtu madaraka makubwa mabyo hayajazoea, yanamlevya anaweza sana. Ni kama from no where masikini ashinde bilioni.
Vijana waliopewa madaraka yakawalevya ndio wanatutisha. Hivi kwa mtu kama sabaya aliyofanya imagine angekuwa rais. Na hapo alikuwa ana wakubwa wa kumtuliza.Kwanini hofu ni kubwa sana kuliko uhalisia. Lini tulikuwa na RAIS kijana akaleta hayo?
Watu wenye 80+ wapo kibao, kufa ni matokeo hata miezi under 5 wanakufa snMnataka tuendelee kupata uzoefu wa nusu mlingoti mara ngapi?