Pre GE2025 Mkiboresha Katiba kifungu cha umri Mgombea Urais kisomeke miaka 30

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Habari Tanzania !

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea...
ili mlete vurugu na fujo na kung"ang"ania madaraka sio..

yaan ustaafu ukiwa na miaka 40. halafu uwe unafanya nini sasa uraiani, akati ndio mwili unachemka moto vizuri....
 
Habari Tanzania!

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.

Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi za kiuwezo katika kutuletea maendeleo.

Asante.
kabisa
 
Umri wa kugombea uraisi Tanzania ikiwezekana uanzie miaka 55. Tuna ya kujifunza Kutoka mataifa makubwa kama Marekani na Urusi. Fikiria Biden na Trump Kwa Nini wanakubaliwa katika umri huo? Putin aliingia kijana madarakani mpka Leo ni yeye tu hataki kuachia ngazi. Ni rahisi kijana kung'ang'ania madarakani kuliko Mzee. Ndicho kinachowapata waganda na wanyarwanda. Watatawaliwa mpaka na vitukuu vya hao madikteta. Mandela aliingia akiwa na miaka 75 aliongoza miaka 2 tu akaachia madaraka Kwa wengine.
 
Hakuna Taifa kubwa hapa duniani. Sema wananchi wa Taifa husika wanamaarifa mengi na mazuri yanayowafanya kuwa tofauti na wengine. Tukiamua tunaweza.

Maendeleo mazuri na makubwa huletwa na vijana. Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuwategemea WASTAAFU kuleta maendeleo.

Yaani mtu awe na 55 utegemee maendeleo? Wewe mwenyewe ukifika huo umri huwezi kusaidia Taifa lako sembuse ngazi kubwa ya nchi.
 
Habari Tanzania!

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.

Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi za kiuwezo katika kutuletea maendeleo.

Asante.
Miaka 30 hapana urais sio utendaji wa kijiji hata hiyo 45 bado ni michache na hasa kwa akili za watanzania walio wengi
 
Hivi kwani uongozi huo ni kubeba zege (mrema Lyatonga RIP) kusema wazee hawawezi?
 
Type ya akina Sabaya, Makonda n.k si wataanza kuua watu tena
Walichaguliwa na nani hao watu, unaowapigia mfano?

Yaani wakae watu wachache wafanye maamuzi yao kwa utashi na mahaba yao kwa kumteua mtu au watu kisha waharibu mtaani; ndio mfanye hitimisho kuwa VIJANA hawawezi uongozi!?

Wagombee, tuwapime mawazo yao kuhusu Taifa letu; kisha tumchague kijana tunayemtaka mbichi kabisa kuanzia 30 na kuendelea.
 
Miaka 30 hapana urais sio utendaji wa kijiji hata hiyo 45 bado ni michache na hasa kwa akili za watanzania walio wengi
URAS sio chocho ya WAZEE na WASTAAFU. Kwanini WAZEE na WASTAAFU mnahofu kwa vijana hamuoni mtapata kutunzwa vyema.
 
Habari Tanzania!

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.

Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi za kiuwezo katika kutuletea maendeleo.

Asante.
Hatuwezi kuongozwa na mtoto wa miaka 30 hata kidogo maana bado akili yake inawaza wanawake na Pombe..

Isijekuwa kila siku Tunasikia Rais kabadili Msichana wake au kanywa kalewa
 
Habari Tanzania!

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.

Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi za kiuwezo katika kutuletea maendeleo.

Asante.
Maoni yangu ni kwamba Umri wa Miaka 25 iwe ndio minimum age ya mtu kuweza kuwa Rais wa nchi hii ya Tz.
 
Back
Top Bottom