Mkigombana kwenye ndoa!

Mkigombana kwenye ndoa!

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64
Wapwaazi na Mabinamuuuz!

Nalileta kwenu hili swali leo naona jamii forum iko kimya sana!
Kama ijulikanavyo vikombe vikikaa kabatili lazima vinagusana na mara nyingine unakuta vimefunjika. Sasa tukija kwenye hiki chama cha ndoa nako ni vilevile hamuwezi kukaa kama malaika lazima kunakuwa na ups and downs sasa inakuwaje pale mnapokuwa mmegombana mume na mke siku mbili tatu tena mnanuniana kabisa mwanaume anaanza kumkumbuka X wake wa zamani atajifariji hata kwa kumpigia tuu simu na tena X akiingia lain watapanga hata wakutane mahali for further mazungumzo ilimradi tuu apate faraja? swali linakuja ni kwa nini huyu mume asitafute muafaka wa suluhisho na mkewe...Naomba mawazo yenu...duu leo niko choka mbaya nasinzia hapa kwa ofisi coz jana nilijitwanga sana Valuuuuu....kusubiri budget ya JK leo...
 
tete a tete

male ego....... wanaume wengine huwa hawapendi kuomba msamaha pale wanapokose so wanakuwa na ile attitude ya ... si kajifanya kuninunia ngoja nitamkomesha..... So ukikutana na mwanaume wa hivi si rahisi kutafuta muafaka na mkewe
 
kama kosa ni lake! na sisi wanawake tuna roho bana! yaani akose yeye mie nimuombe msamaha kwa kweli kwangu itakuwa ngumu....
 
na wengine sisi bila muafaka mambo hayaendi, mana nikiwa ni mie nimecheza rafu huwa mrahic sana kutafuta muafaka kwanini kwake iwe ngumu?... apigie hata exs zake 15 bila muafaka atanisamehe.
 
duu leo niko choka mbaya nasinzia hapa kwa ofisi coz jana nilijitwanga sana Valuuuuu....kusubiri budget ya JK leo...
haki ya nani tena mi kwenye post yako nimeona point moja tu ambayo ni hiyo niliyoikoti:bounce:
 
haki ya nani tena mi kwenye post yako nimeona point moja tu ambayo ni hiyo niliyoikoti:bounce:

We si nakujua mzee wa kujitundika na leo huko uliko loo angalia wasikubebe na winch!! looh all the best...kwenye pombe hakuna heshima...
 
We si nakujua mzee wa kujitundika na leo huko uliko loo angalia wasikubebe na winch!! looh all the best...kwenye pombe kuna heshima kubwa sana!HASA UKILEWA...
HEHEHE!leo tete unamwaga ma-point kwel kwel vipi kikao cha bajeti kimekufeva?
 
haki ya nani tena mi kwenye post yako nimeona point moja tu ambayo ni hiyo niliyoikoti:bounce:

He he he he he hommie; najua umevutika na line neno valuuuuuuu pale angekuongezea na safari wota
 
mwanamama akikuletea za ajabu dawa ake we ni kuchelewa kurudi!.......
ukirud saa nne akinuna kesho rudi saa sita akinuna nxt day rudi saa nane akinuna nxt day rudi asubuhi
TARATIIIBU ATAANZA KUWA MDOGO!.....
 
Teamo mbona uko hivi ushauri wak ni kasheshe tupu .........................:roll:
 
Kweli wanaume sijui huwa mnajisikiaje kuanza kuomba msamaha kama mmekosea ..
 
Kweli wanaume sijui huwa mnajisikiaje kuanza kuomba msamaha kama mmekosea ..
hehehe!hata sijui NITAANZAJE!.....
wanawake wote wanaotegemea waume zao WAWAOMBE MSAMAHA huwa wanakuwa na makasheshe kibao kwenye mahusiano yao!katika hali ya kawaida mimi SIWEZI KUMUOMBA MSAMAHA MKE WANGU JUST LIKE THAT
 
na wengine sisi bila muafaka mambo hayaendi, mana nikiwa ni mie nimecheza rafu huwa mrahic sana kutafuta muafaka kwanini kwake iwe ngumu?... apigie hata exs zake 15 bila muafaka atanisamehe.

Ati nini? Hata 15? Akifikisha hiyo idadi nadhani ndoa haiwezi kusimama! Maana exs huwa wanakumbuka sana enzi na kuna wakati yawezekana wao ndio waliachwa kwenye mataa, na kwa hiyo wakipata upenyo kidogo wanapita kama mafuta ya taa
 
Kweli wanaume sijui huwa mnajisikiaje kuanza kuomba msamaha kama mmekosea ..

Unajihisi umedharirika sana - Especially kama kosa lenyewe lilikuwa na uhusiano na "infidelity" au kuchelewa baa! Kwa maana unaona kama vile "huyu" mwanamke anataka kuchukua "control" ya maisha yangu, wakati kule nilipokuwa jana nilikuwa naonekana kana Bill Gates: iweje leo huyu ananiletea za kuleta?

Anyways: kwa binadamu walio wengi ni vigumu kusema "Samahani" regardless of the gender
 
Sasa tukija kwenye hiki chama cha ndoa nako ni vilevile hamuwezi kukaa kama malaika lazima kunakuwa na ups and downs sasa inakuwaje pale mnapokuwa mmegombana mume na mke siku mbili tatu tena mnanuniana kabisa mwanaume anaanza kumkumbuka X wake wa zamani atajifariji hata kwa kumpigia tuu simu na tena X akiingia lain watapanga hata wakutane mahali for further mazungumzo ilimradi tuu apate faraja? swali linakuja ni kwa nini huyu mume asitafute muafaka wa suluhisho na mkewe...Naomba mawazo yenu

Hapo kwenye nyekundu si inaweza tokea hata kwa upande wa pili (mwanamke)pia?
 
kama kosa ni lake! na sisi wanawake tuna roho bana! yaani akose yeye mie nimuombe msamaha kwa kweli kwangu itakuwa ngumu....
tete atete mwanaume huwa hakoseagi wewe!!
Ukiona kakosea basi jua ni makosa yako so unatakiwa kuomba radhi ah...............mie mwenzenu nikisema nimechoka mjue nimechoka kweli. Niacheni tu nipumzike kama si kuacha kabisa
 
tete a tete

male ego....... wanaume wengine huwa hawapendi kuomba msamaha pale wanapokose so wanakuwa na ile attitude ya ... si kajifanya kuninunia ngoja nitamkomesha..... So ukikutana na mwanaume wa hivi si rahisi kutafuta muafaka na mkewe

MJ1 wengine huwa wanaomba samahani na baadhi hiyo vocabulary ya samahani haimo kabisa kwenye Medulla Oblongata zao.
 
Kweli wanaume sijui huwa mnajisikiaje kuanza kuomba msamaha kama mmekosea ..

First lady, ni vizuri tukiwauliza nyie mliotuzaa, mmeltuela vipi mpaka tushindwe kuwaomba msamaha? Actually huwa tunaona aibu kuona kuwa tumekosa, lakini tunatambua vizuri kuwa tumekosa, tuna njia zetu za kuomba msamaha lakini sio kusema samahani. Sasa kama nyie hamjui hilo then mtakuwa hamtujui vizuri. Kama mke wangu angekuwa na umri mkubwa kwangu kwa miaka mitano, ningekuwa namuomba msamaha kwa urahisi sana, lakini tatizo yeye ni mdogo kwangu by far.

Uzuri wake nikikosa huwa anaonesha kuwa nimekosa, lakini habwati anaongea kwa busara sana hadi mwenyewe naona wazi kosa langu na kujutia, i wish all women were like that. Lakini sivyo.
 
Back
Top Bottom