tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 64
Wapwaazi na Mabinamuuuz!
Nalileta kwenu hili swali leo naona jamii forum iko kimya sana!
Kama ijulikanavyo vikombe vikikaa kabatili lazima vinagusana na mara nyingine unakuta vimefunjika. Sasa tukija kwenye hiki chama cha ndoa nako ni vilevile hamuwezi kukaa kama malaika lazima kunakuwa na ups and downs sasa inakuwaje pale mnapokuwa mmegombana mume na mke siku mbili tatu tena mnanuniana kabisa mwanaume anaanza kumkumbuka X wake wa zamani atajifariji hata kwa kumpigia tuu simu na tena X akiingia lain watapanga hata wakutane mahali for further mazungumzo ilimradi tuu apate faraja? swali linakuja ni kwa nini huyu mume asitafute muafaka wa suluhisho na mkewe...Naomba mawazo yenu...duu leo niko choka mbaya nasinzia hapa kwa ofisi coz jana nilijitwanga sana Valuuuuu....kusubiri budget ya JK leo...