Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Amen amen acha nisali nipumzishe fuvu languKusali kabla ya kufanya jambo lolote ni muhimu sana mkuu
Kwa hiyo kabla ya kupiga mbonji ni muhimu kujikabidhi kwa Bwana ili awatume malaika zake kukupa ulinzi lkn pia kufanya toba kwa yale yote uliyoyafanya ktk siku nzima maana huenda ulitenda isivyopasa ili hata kama ukiwa ni usingizi wako wa moja kwa moja mpk ile parapanda basi ulale ukiwa upande wa Bwana
Baada ya kusema haya ngoja nisali kbs nilale
Huu utakua ni Unafiki 😁Unasali kabla ya kulala kesho unaenda kuharibu vibinti vya watu au kugonga Malaya.
Unasali kabla ya kulala kesho unasengenya watu
Unasali kabla ya kulala kesho unaingia kazini unadhulumu haki za watu Kwa kula rushwa na ufisafi
Unasali kabla ya kulala kesho yake unaingia bar unakunywa pombe
Unasali kabla ya kulala na Bado unakuwa mfuasi wa CCM unayechukizwa na watu wanaolalamikia matendo maovu yanayofanywa na vyombo vya usalama kuteka na kuua wasio na hatia
Sasa unasali Ili iweje?