Mkilazimisha kumleta Mwarabu bandarini tutamfanyia hujuma kana tulivyomfanyia Dangote na Nakumat

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Dangote alikuja na mkwara eti atauza cement 5000, tulichomfanya abajuta kuwekeza Tanzania.

Kila week kuna roli linaanguka na kuwa scraper, cement yake haina tena soko wala hajawahi kuuza bei chini na wenzake.

Huyo Nakumat alitaka kushindana na Shoprite, tulichomfanya hatasahau.

Sisi ni nani?
Ku klax klan
 
Sawa dp asije lkn hapo kwa dangote mlifanya roho mbaya sana
 
Akili za kipumbavu ndio hizi, zenyewe zinaweza kuharibu lakini kuja na uvumbuzi mpya hazina kabisa uwezo huo.
 
Sasa hapo tumepata faida gani kwa nyie mafisadi kumfanyia hujuma dangote?
 
Maswali magumu sana kwa chawa wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…