mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Mume wa mtu si vyema kutumbua nae. Waweza kuumbuka. Punde atakapo kuchoka, atakuacha kwenye mataa. Utakuwa huna pa kukimbilia. Unless..........!!!!!! Unless ......!!!!!!!!!! Unataka kuolewa nae.
Na hivyo pia utakuwa mke mdogo. Are you willing to live small allways? Buckle up and look for a handsome, single guy and try your luck. Good luck.
unamfata mkewe, unamueleza kuwa umemzimikia mumewe.....
then muombe mke ruhusa ya kuomba 'urafiki' na mume wake.
Akishakuruhusu kajilipue kwa huyo mwanaume.
Dada zangu itokeapo umempenda kijana nae ana mke, mnafanya nini?
here again, a virgin in a maternity ward.
We unafikiri anafanywa nini?
KINYAA? Come on Pretty,give me a break!!!!!!!!......Kwa nini hupende mume wa mtu? Huoni kinyaa kushare penzi?
Mume wa mtu si wakumpenda kabisa nikujitia BP yakujitakia....
KINYAA? Come on Pretty,give me a break!!!!!!!!
mmmmmmhhhhh?????usihangaike
kaangalie uzi wa ulipata div ngapi
angalia wengi wamemaliza f4 miaka ya 2000
Umri unawaruhusu kusema hayo.
BJ,huko nyuma inaelekea ushawahi kutendwa!Nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.
Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda&anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!
.....nyumba ndogo na daddy?....mbona sikuelewi?Lakini hizi nyumba ndogo na Daddy vinatoka wapi?
Unamwomba mungu asikutie majaribuni. Huwa tunapigana na hisia zetu. Huwezi kujizuia kupenda, ila unaweza zuia kufanya kile hisia zako zinakutuma kufanya.
nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.
Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda&anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!