Mkimpenda mume wa watu mnafanya nini?

Mkimpenda mume wa watu mnafanya nini?

Wanaenda wanarushiwa juju maisha yao yanakwisha wana kuwa mafala

acheni wizi
 
Unamwomba mungu asikutie majaribuni. Huwa tunapigana na hisia zetu. Huwezi kujizuia kupenda, ila unaweza zuia kufanya kile hisia zako zinakutuma kufanya.
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Mume wa mtu si vyema kutumbua nae. Waweza kuumbuka. Punde atakapo kuchoka, atakuacha kwenye mataa. Utakuwa huna pa kukimbilia. Unless..........!!!!!! Unless ......!!!!!!!!!! Unataka kuolewa nae.

Na hivyo pia utakuwa mke mdogo. Are you willing to live small allways? Buckle up and look for a handsome, single guy and try your luck. Good luck.

well said doctorz.
 
unamfata mkewe, unamueleza kuwa umemzimikia mumewe.....

then muombe mke ruhusa ya kuomba 'urafiki' na mume wake.

Akishakuruhusu kajilipue kwa huyo mwanaume.

unataka huyo dada akong'otwe na mwiko wa kupikia.
 
Mume wa mtu si wakumpenda kabisa nikujitia BP yakujitakia....

hao wasio waume za watu wako wapi? si kila siku mnasema humu ndani kuwa wengi wao ni wanaume suruali tu.
Kwako mtoa mada: ukiweza kumnasa we cheat naye,no problem,mradi uwe mwangalifu, condoms,usiri etc.
 
Kwa wakristu kuna sala "baba yetu uliye mbinguni .... Utuepushe katika vishawishi ...." Hii ndio unatakiwa uisali sana katika hali kama hiyo. Nafikiri katika dini nyingine kuna maombi kama hayo
 
Lakini hizi nyumba ndogo na Daddy vinatoka wapi?
 
Nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.

Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda&anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!
BJ,huko nyuma inaelekea ushawahi kutendwa!
 
jamani mbona hamchangii hii mada muhimu?
Mainfii mko wapi ?
 
Learn how to lead ur heart, don't just follow it kama kondoo, utaishia kichinjioni!
 
Unamwomba mungu asikutie majaribuni. Huwa tunapigana na hisia zetu. Huwezi kujizuia kupenda, ila unaweza zuia kufanya kile hisia zako zinakutuma kufanya.

Mama muinjilisti umemaliza kitu....😛oa
 
nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.

Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda&anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!

:a s 11:
 
Back
Top Bottom