Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......Kwa nini hupende mume wa mtu? Huoni kinyaa kushare penzi?
KINYAA? Come on Pretty,give me a break!!!!!!!!
unamfata mkewe, unamueleza kuwa umemzimikia mumewe.....
then muombe mke ruhusa ya kuomba 'urafiki' na mume wake.
Akishakuruhusu kajilipue kwa huyo mwanaume.
Kweli mapenzi hayana adabu wala aibu! Dah! Unakimbia faster kabla hujabadili mawazo....:bolt:
Bora mimi sijasema! Watu huwa hawafichi ati...yaani yanaonekana jumla jumla mbele ya macho ya wanaoona.
Utaficha nini hali mapenzi kikohozi Ndahani.... mimi nikikupenda hapo unconsciously (tena bila ruhusa yangu) mapenzi yanajianika mbele ya hadhara!
Utaficha nini hali mapenzi kikohozi Ndahani.... mimi nikikupenda hapo unconsciously (tena bila ruhusa yangu) mapenzi yanajianika mbele ya hadhara!
Ndiyo shida ya mapenzi... Au labda infatuation...
We waweza kuhisi huonekani,wakati wenzako wanakuona,na hiyo ni hasa yule unayempenda awe hajajua kama kapendwa nawe,au kajua ila anapotezea kwa sababu zake,iwe woga au chochote kile...
Watu watajua tu..

sasa kumkimbia mtu kutakusaidiaje? Ukikutana naye uchochoroni si utajiachia ukaanza kucheka bila kuchekeshwa? Dawa ni kukataa kuendelea kupenda...how I don't know!
In blue.. the first step ya kuachivi hio dawa in blue ni kukimbia. Roho huwezi kataza kua usipende... Haiwezekani! Kuikomesha roho yako na tamaa yake ya kupenda pasipo, ni lazma ubongo wako ukusaidie kwa kumkwepa the person in question kwamba msiwe kabribu at all cost! Huku uki nurse maumivu kua you could never be the person in question.... then other steps will follow taratibu...
Dada zangu itokeapo umempenda kijana nae ana mke, mnafanya nini?
Inaelekea you talk with experience, lol! Mzee asije akawa anajua anakuchora tu!
Uzoefu unaonyesha hivyo...hata kama ni kwa wanandoa...kuna wakati unajua hapa mwenzangu ndo hivyo tena!!
Jamani Ndahani mbona wanionea na wataka kuniuzia case??!! lol... Sio kweli hebu futa kauli yako kabla sijamuita Paw aku ban!lol
Haaahaaa! Basi nimekosea nilimaanisha mtu mwingine sio wewe.