Hivi karibuni nilimsikia yule mchambuzi nguli nchini mkinga akihojiwa kwenye tv. Mkinga aliwakosoa wale wanaosema kuwa katiba inayopendekezwa ipingwe kwasababu hakuna nakala za kutosha. Mkinga alisema kuwa watanzania hawana utamaduni wa kusoma na ndiyo maana hata ile katiba ya mwaka 1977 imekaa muda wote na bado asilimia kubwa watu hawajaisoma na hawaijui.
Hoja hii ni kweli kabisa watanzania hatuendi kusoma na kuna mda kuna watu wanakesha mitandaoni katiba ipo lakini nao eti wanalalamika kuwa hawajaisoma. Tubadilike!
Cha muhimu ni kuhamasishana watanzania wote tuisome katiba inayopendekezwa na tuielewe ili hatimaye tufanye uamuzi sahihi wakati wa kupiga kura utakapofika.Ni kweli, hata humu ndani kuna wachangiaji wa mada wanalalamika Katiba Inayopendekezwa haipo, kwa mantiki hiyo watu wanatumia mitandao kwa mambo mengi wanasahau hata Katiba hiyo ipo humu humu. Tubadilike jamani, wasomaji wa JF tusiiingie kwenye kundi hilo la walalamikaji kwamba Katiba haipo, sasa hii hapa jielimisheView attachment 239609
Cha muhimu ni kuhamasishana watanzania wote tuisome katiba inayopendekezwa na tuielewe ili hatimaye tufanye uamuzi sahihi wakati wa kupiga kura utakapofika.
Tuache kulalamika katika mambo yaliyo mbele yetu ambayo tunauwezo wa kuyatimiza kwa kuwa katika hili la katiba pendekezwa naona kwa mtizamo wangu watanzania tulio wengi tumejenga hulka au utamaduni wa kulalamika sasa najiuliza hii ndio fomula ya kufikia maendeleo ya kweli au ni athari za upotoshaji na propaganda zinazofanywa na watu wachache wasioitakia mema nchi yetu.Kwa sasa naomba watanzania wenzangu tubadili mtizamo huu ili tuweze kuwa na mtizamo chanya katika kushiriki kulijenga taifa letu,wakati huu tunapoelekea kupiga kura ya maoni kuhusu katiba pendekezwa lazima tutambue kuwa katiba hiyo ndio msingi wa maendeleo ya taifa letu sasa je kuna haja ya kuendelea kusikiliza propaganda na maneno ya kuokoteza ambayo yanalenga kupotosha na kuchafua taswira ya taifa letu ambayo naona fahari kusema watanzania tumepiga hatua kubwa kwanza katika hili la kuandika katiba inayopendekezwa ambayo itakuwa mkombozi na msingi wa maendeleo ya taifa letuNi kweli, hata humu ndani kuna wachangiaji wa mada wanalalamika Katiba Inayopendekezwa haipo, kwa mantiki hiyo watu wanatumia mitandao kwa mambo mengi wanasahau hata Katiba hiyo ipo humu humu. Tubadilike jamani, wasomaji wa JF tusiiingie kwenye kundi hilo la walalamikaji kwamba Katiba haipo, sasa hii hapa jielimisheView attachment 239609
Kura ya ndiyooooooo........inahusika sana,katiba yetu wenyewe kwa nini tusiipe yes kubwa,wale wachache mnaotupotosha muache mara moja,watanzania tuko makini na tunajali maslahi ya nchi yetu zaidiTena ni kura ya ndiyooooooooo
Mkinga njaa tu usipoteze muda kumsikiliza aliyepoteza network
Mkinga njaa tu usipoteze muda kumsikiliza aliyepoteza network
Ni kweli, hata humu ndani kuna wachangiaji wa mada wanalalamika Katiba Inayopendekezwa haipo, kwa mantiki hiyo watu wanatumia mitandao kwa mambo mengi wanasahau hata Katiba hiyo ipo humu humu. Tubadilike jamani, wasomaji wa JF tusiiingie kwenye kundi hilo la walalamikaji kwamba Katiba haipo, sasa hii hapa jielimishe
View attachment 239609
Acha kujidanganya wewe!asante kwa hii katiba yenu mnayoipigia debe,naomba pia utuwekee na rasimu zote mbili za warioba tuzione kwani naamini yale ndiyo yalikuwa mawazo halisi ya wananchi
Hivi karibuni nilimsikia yule mchambuzi nguli nchini mkinga akihojiwa kwenye tv. Mkinga aliwakosoa wale wanaosema kuwa katiba inayopendekezwa ipingwe kwasababu hakuna nakala za kutosha. Mkinga alisema kuwa watanzania hawana utamaduni wa kusoma na ndiyo maana hata ile katiba ya mwaka 1977 imekaa muda wote na bado asilimia kubwa watu hawajaisoma na hawaijui.
Hoja hii ni kweli kabisa watanzania hatuendi kusoma na kuna mda kuna watu wanakesha mitandaoni katiba ipo lakini nao eti wanalalamika kuwa hawajaisoma. Tubadilike!
asante kwa hii katiba yenu mnayoipigia debe,naomba pia utuwekee na rasimu zote mbili za warioba tuzione kwani naamini yale ndiyo yalikuwa mawazo halisi ya wananchi
asante kwa hii katiba yenu mnayoipigia debe,naomba pia utuwekee na rasimu zote mbili za warioba tuzione kwani naamini yale ndiyo yalikuwa mawazo halisi ya wananchi
Acha kujidanganya wewe!
Honera sana kwa kupata hiyo nakala ya Katiba Inayopendekezwa. Kozo Okamoto, umepata barua endelea kuisoma, sasa hiyo bahasha ya kazi gani unaitafuta? ujumbe upo kwenye barua na siyo bahasha.
Rasimu ya Warioba ndo ilikuwa na mapungufu na ndo ilikuwa inahitaji kurekebishwa, na ndo imerekebishwa tukapata hii Katiba Inayopendekezwa ambayo hii una ni kuwa imasimama vema kwakujali makundi yote na suala la hamsini kwa hamsini limezingatiwa pia. Wewe unayeibeza sio mzalendo.hii tuliyowekewa ndiyo bahasha sasa kwa taarifa yako,barua ilikuwa ni rasimu ya warioba.mmetupilia mbali barua mnatuletea bahasha kwa ulaghai kuwa ni barua.tushastuka,hatuuziwi mbuzi kwenye gunia.by the way kuna quote moja nilikuquote nayo juzi,nashangaa kumya mpaka leo,mbona hujaijibu?tupitishe katiba yenye mapungufu?iende wapi?kwa akina nani?ikafanye nini?kwani tukiirekebisha kwanza tutakufa?kama hatukufa kwa miaka zaidi ya hamsini sembuse miezi hii miwili iliyobaki baada ya uchaguzi?tushastuka swahiba,mmeleta bahasha tupu kutulaghai kuwa kuna bahasha ndani yake.hii ndo kauli ya juzi,na siku zote itabaki kichwani mwangu;"Katiba hii imezingatia na kutambua makundi mbalimbali na mimi sina haya kuwaeleza kuwa tuipitishe kwani licha ya upungufu ilionao, haifikii hii ya sasa. Tusipoipitisha tutaendelea kuitumia hii na sidhani kama kuna Rais atakuja na kuanza na mchakato wa Katiba, hivyo hii hii tuipitisheni kama ina upungufu utafanyiwa maboresho kwani Katiba siyo Msahafu au Biblia."
"Katiba hii imezingatia na kutambua makundi mbalimbali na mimi sina haya kuwaeleza kuwa tuipitishe kwani licha ya upungufu ilionao, haifikii hii ya sasa. Tusipoipitisha tutaendelea kuitumia hii na sidhani kama kuna Rais atakuja na kuanza na mchakato wa Katiba, hivyo hii hii tuipitisheni kama ina upungufu utafanyiwa maboresho kwani Katiba siyo Msahafu au Biblia."Rasimu ya Warioba ndo ilikuwa na mapungufu na ndo ilikuwa inahitaji kurekebishwa, na ndo imerekebishwa tukapata hii Katiba Inayopendekezwa ambayo hii una ni kuwa imasimama vema kwakujali makundi yote na suala la hamsini kwa hamsini limezingatiwa pia. Wewe unayeibeza sio mzalendo.