Mkinga- kigezo kuwa katiba inayopendekezwa haijasambazwa vya kutosha ni mufilisi

Mkinga- kigezo kuwa katiba inayopendekezwa haijasambazwa vya kutosha ni mufilisi

"Katiba hii imezingatia na kutambua makundi mbalimbali na mimi sina haya kuwaeleza kuwa tuipitishe kwani licha ya upungufu ilionao, haifikii hii ya sasa. Tusipoipitisha tutaendelea kuitumia hii na sidhani kama kuna Rais atakuja na kuanza na mchakato wa Katiba, hivyo hii hii tuipitisheni kama ina upungufu utafanyiwa maboresho kwani Katiba siyo Msahafu au Biblia."

haya siyo maneno yangu,ni maneno ya mh mkuu,ukiwa kama kijana mwenye akili zilizotimia tafakali na hasa hapo kwenye black.tunahaja gani sasa ya kutengeneza kitu kipya chenye mapungufu?rais ajaye atashindwa nini kutupa katiba?

Sasa wewe katibiwe kwanza maana unaonekana umeumia huo mkono umeamua kusumbua na wengine. Vinginevyo lala!
 
Sasa wewe katibiwe kwanza maana unaonekana umeumia huo mkono umeamua kusumbua na wengine. Vinginevyo lala!

najua siku zote huwa hampendi facts na huwa hamuwezi ku defend with facts.mahaba yamezidi akili.iko siku tutakuja kuuza nchi kwa ushabiki wa aina hii.ngoja kwanza mimi nikatibiwe kisha nilale,ila hayo ni maneneo ya mkuu wa nchi siyo yangu.kinachonishangaza ni kwamba unaendeleza ushabiki hata kwa vitu vibovu......napata mashaka na iq yako.n'way,ngoja niwahi matibabu
 
“Katiba hii imezingatia na kutambua makundi mbalimbali na mimi sina haya kuwaeleza kuwa tuipitishe kwani licha ya upungufu ilionao, haifikii hii ya sasa. Tusipoipitisha tutaendelea kuitumia hii na sidhani kama kuna Rais atakuja na kuanza na mchakato wa Katiba, hivyo hii hii tuipitisheni kama ina upungufu utafanyiwa maboresho kwani Katiba siyo Msahafu au Biblia.”

haya siyo maneno yangu,ni maneno ya mh mkuu,ukiwa kama kijana mwenye akili zilizotimia tafakali na hasa hapo kwenye black.tunahaja gani sasa ya kutengeneza kitu kipya chenye mapungufu?rais ajaye atashindwa nini kutupa katiba?

Kozo naomba ufafanue vizuri hapa!
 
najua siku zote huwa hampendi facts na huwa hamuwezi ku defend with facts.mahaba yamezidi akili.iko siku tutakuja kuuza nchi kwa ushabiki wa aina hii.ngoja kwanza mimi nikatibiwe kisha nilale,ila hayo ni maneneo ya mkuu wa nchi siyo yangu.kinachonishangaza ni kwamba unaendeleza ushabiki hata kwa vitu vibovu......napata mashaka na iq yako.n'way,ngoja niwahi matibabu

Sasa Kozo Mkinga anaposema Katiba ya mwaka 1977 ambayo inaendelea kufanya kazi na kuheshimiwa bado kuna watu kibao hawajaisoma na hata wewe mwenyewe inawezekana hujaisoma amekosea nini?miaka yote hiyo na huoni kitu hapo?hizo fact unazotaka ziweje?
 
Kozo upo sahihi Kabisa mie naona tuipitishe kwanza fursa yetu ni kwanza kisha siku za usoni mengine yafanyike na pia sioni hoja za nguvu kwamba HAIFAI hii katiba PENDEKEZWA
 
Back
Top Bottom