Mkiona kwenye vibanda umiza mashabiki wa Simba mpo wenyewe katika mechi yenu na Plateau United msishangae!

Mkiona kwenye vibanda umiza mashabiki wa Simba mpo wenyewe katika mechi yenu na Plateau United msishangae!

Mnatamani kuona mechi za kimataifa utopolo
 
Namheshimu sana kaka Manara....

Cha ajabu kila uchao anadhihirisha "tabia za hovyo na hooliganism"...

Hivi hajui kuwa KAULI kama zile dhidi yetu mashabiki wa YANGA ni kutengeneza CHUKI ambayo inaweza hata kusababisha MASHABIKI KUPIGANA na hata STAMPEDE ikitokea makundi mawili yanakutana KIHASIMU?!!!

Hivi hiyo siku ikitokea baadhi ya mashabiki ya YANGA tukiwa na jezi zetu halafu TUPIGWE NA KUJERUHIWA...ataepuka LAWAMA?!!!

Hivi hajui kuwa hata VITA na MACHAFUKO huanza na SLOGANS km zile alizozitema JUZI?!!!!

Manara badilika kaka.....
Manara una heshima zaidi ya hayo ufanyayo....

Competition ya KIMPIRA na KIBIASHARA haitakiwi kuwa HIVYO...

AKILI NI NYWELE


Muuza Al Kasus
Tandale
Nyinyi mnavyowashambulia mashabiki wa Simba nani anawashawishi, huwa hamuoni ni kosa mpaka Simba waamue kujibu mashambulizi
 
Nyinyi mnavyowashambulia mashabiki wa Simba nani anawashawishi, huwa hamuoni ni kosa mpaka Simba waamue kujibu mashambulizi
Mkuu ni kosa kushambulia wengine....

Wale mashabiki wenzetu ambao ni wahuni...hawakufanya kitendo cha kiungwana km alichofanya kaka Manara....

Haina maana TUULEE NA KUUTAMIA uhuni michezoni....

#StopUhuniMichezoni
 
Kauli za Haji Manara sio za kiungwana

Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki

Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita

Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Ule mkia hauna akili
 
Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Manara amewin mchezo huu, maana Yanga watajitokeza kwa wingi kuchangia mapato ya getini
 
Habari!

Kwa maelezo ya huyo msemaji na mbwambwajaji wa watani zetu ukiyafanyia kazi kama yalivyosema unaona kabisa pale wana mropokaji kiwango cha lami.

Mara watani wanajikuta wapo wenyewe si uwanja wa taifa kwa mkapa si vibanda umiza.

Mpira wataangalia kama wapo kwenye msiba hakika nasema.

Kipindi hicho sisi tumejifungia majumbani kwetu kutazama mpira tukitekeleza tamko la mwana habari wao.

Kila la kheri Plateau United tutawatazama tukiwa majumbani kwetu hatupendi vurugu Wananchi.
Rudisheni zile simu mlizowakwapulia.
 
Back
Top Bottom