Mkiona kwenye vibanda umiza mashabiki wa Simba mpo wenyewe katika mechi yenu na Plateau United msishangae!

Mnatamani kuona mechi za kimataifa utopolo
 
Nyinyi mnavyowashambulia mashabiki wa Simba nani anawashawishi, huwa hamuoni ni kosa mpaka Simba waamue kujibu mashambulizi
 
Nyinyi mnavyowashambulia mashabiki wa Simba nani anawashawishi, huwa hamuoni ni kosa mpaka Simba waamue kujibu mashambulizi
Mkuu ni kosa kushambulia wengine....

Wale mashabiki wenzetu ambao ni wahuni...hawakufanya kitendo cha kiungwana km alichofanya kaka Manara....

Haina maana TUULEE NA KUUTAMIA uhuni michezoni....

#StopUhuniMichezoni
 
Ule mkia hauna akili
 
Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Manara amewin mchezo huu, maana Yanga watajitokeza kwa wingi kuchangia mapato ya getini
 
Rudisheni zile simu mlizowakwapulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…