Mkiona makuhani, mashekhe,wachungaji, mapadri na maaskofu wanakemea jambo WAFUATENI

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao;

Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu
Hakuna hata siku moja utamkuta dikiteta yuko mbele katika mapigano yoyote;

Bali hutumia masikini wasiojitambua kwenda kupigana na masikini wenzao wanaodai haki.
Pamoja na hayo yote utaratibu wa kimbingu haujawahi kubadilika.

Mungu hutumia watu ili kuwapa vitu watu wake!
Mungu hupokonya wasiostahili vitu na kuwapa wanaostahili vitu

Lakini ili hayo yote yafanyike LAZIMA WANAODAI HAKI HULAZIMIKA KUTOKA ili wakachukue HAKI YAO kwa wasiostahili.

Haijalishi ukubwa wa jeshi au adui anayekwenda kukutana naye lakini MUNGU Anachohitaji WATU WAKE WATOKE ILI WAKACHUKUE HAKI ZAO KWA MAFEDHULI.

Hadithi za maandiko matakatifu zinasimulia hivyo hivyo kuanzia kwa
1. Storry ya watumwa Mungu alipowatoa MISRI ilitakiwa wao tu kutoka mengine Mungu anamaliza
2. Vivyo hivyo kwa Joshua tangazo lilikuwa MKIONA MAKUHANI WAMEBEBA SANDUKU NA WAMETANGULIA Nyie wafuateni maana Mungu alikiwa pamoja nao etc.

HAWA JAMAA AMBAO NI VIONGOZI WA DINI wanayodhamana ya kusikia maelekezo ya Mungu; Haijalishi mapungufu yao ya kibinadamu lakini Haiondoi Mungu kuwatumia katika ukombozi;

Ukiwaona wakipinga, wakionya na kuhamasisha ili kudai haki WAFUATENI NYUMA bila kujali vitisho vyovyote maana tayali vita ishakwisha kiroho inasubili mkachukue kimwili.

Ilikuwa hivyo hivyo pia JOSHUA NA KAREBU,
Ilikuwa Hivyo hivyo pia kwa DAUDI

NA ITAKUWA HIVYO HIVYO SIKU UTAKAYOTOKA KWENDA KUDAI HAKI BILA KUOGOPA UKUBWA WA ADUI NA MIKWARA YAKE.
 
IMG-20251018-WA0015.jpg
 
Wao ni binadam kama sisi na vyeo vyao wamepewa kuongoza watu kama wao sio wajumbe kutoka Kwa mungu
 
Hakuna kitu kama hicho kwanza wengine ni watu wa ovyo haijawah tokea
Watu wa hovyo umewapima kwa kipimo gani! Haijalishi mapungufu ya kibinadamu lakini wanayo mamlaka ya kutumiwa na MUNGU kwa ajili ya ukombozi.

Mussa aliuwa MUMISIRI Lakini kwasababu alipewa wajibu kama kuhani aliongoza kuwa toa watu utumwani
DAUDI alimla mwanamke baada ya kumtamani Lakini Mungu alikiwa pamoja na Daudi

Suleiman alikuwa na mahawara 600 lakini Mungu anasema haijawahi kutokea mtu mwenye hekima kama suleimani

Makosa binafsi ya KUHANI HAYAONDOI Mungu kumtumia katika jambo la KITAIFA!

Hata wakichafuliwa nyie wafuateni
 
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao;

Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu
Hakuna hata siku moja utamkuta dikiteta yuko mbele katika mapigano yoyote;

Bali hutumia masikini wasiojitambua kwenda kupigana na masikini wenzao wanaodai haki.
Pamoja na hayo yote utaratibu wa kimbingu haujawahi kubadilika.

Mungu hutumia watu ili kuwapa vitu watu wake!
Mungu hupokonya wasiostahili vitu na kuwapa wanaostahili vitu

Lakini ili hayo yote yafanyike LAZIMA WANAODAI HAKI HULAZIMIKA KUTOKA ili wakachukue HAKI YAO kwa wasiostahili.

Haijalishi ukubwa wa jeshi au adui anayekwenda kukutana naye lakini MUNGU Anachohitaji WATU WAKE WATOKE ILI WAKACHUKUE HAKI ZAO KWA MAFEDHULI.

Hadithi za maandiko matakatifu zinasimulia hivyo hivyo kuanzia kwa
1. Storry ya watumwa Mungu alipowatoa MISRI ilitakiwa wao tu kutoka mengine Mungu anamaliza
2. Vivyo hivyo kwa Joshua tangazo lilikuwa MKIONA MAKUHANI WAMEBEBA SANDUKU NA WAMETANGULIA Nyie wafuateni maana Mungu alikiwa pamoja nao etc.

HAWA JAMAA AMBAO NI VIONGOZI WA DINI wanayodhamana ya kusikia maelekezo ya Mungu; Haijalishi mapungufu yao ya kibinadamu lakini Haiondoi Mungu kuwatumia katika ukombozi;

Ukiwaona wakipinga, wakionya na kuhamasisha ili kudai haki WAFUATENI NYUMA bila kujali vitisho vyovyote maana tayali vita ishakwisha kiroho inasubili mkachukue kimwili.

Ilikuwa hivyo hivyo pia JOSHUA NA KAREBU,
Ilikuwa Hivyo hivyo pia kwa DAUDI

NA ITAKUWA HIVYO HIVYO SIKU UTAKAYOTOKA KWENDA KUDAI HAKI BILA KUOGOPA UKUBWA WA ADUI NA MIKWARA YAKE.
Kweli kabisa mkuu
 
Wao ni binadam kama sisi na vyeo vyao wamepewa kuongoza watu kama wao sio wajumbe kutoka Kwa mungu
Wewe ni miongoni mwa masikini mnaotumiwa ili kutuzuia wenzenu tunaodai haki kwa faida ya wote Mnalaana ya kujitakia kisa posho
 
Umeenda mbali sana kijana Mimi sio shabiki wa siasa ila nilikua naweka sawa kuhusu hao viongozi wa dini Sasa sijui ww umefikiria nin
 
Umenena kweli kabisa.

Askari maskini wanatumika kuwazuia waandamanaji maskini wanaopigania haki zao ikiwemo hao askari
 
Back
Top Bottom