Mkiona mgonjwa wenu hawezi kupona, mrudisheni akafie nyumbani. Akipelekwa tu Mortuary mtadaiwa mamilioni msiyoyaweza

Utajuaje iwapo mgonjwa hawezi kupona?
 
Wacha sheria zifuatwe kwan hospital ni kituo cha kutoa misaada ifike hatua kla mtu atambue majukumu yake
Unapoenda hospital ni lazma uwe na pesa ya matibabu uwo ndo ukwel
Na ndo maana kla sku tunaambiwa tutafte pesa uwa wanamaanisha vtu km ivi sasa tutafte pesa kuepukana na adha km izi


Lakin pia unaweza kuta uyo mnaemtetea ni CCM orginal af nyie mnakaa mnamtetea mtu anaetafta mattzo wwnyewe
 
CCM nukiiangalia nasikia kuchafukwa. Ghana maiti inatunzwa hata mwaka mzima na kuna private mortuary sijui ingekuwa hapa sasa ingekuwaje. Mortuary zenyewe wanagaragaza maiti kwenye sakafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…