Mkipewa hela ya ujenzi jengeni,msiwaibie ndugu zenu

Mkipewa hela ya ujenzi jengeni,msiwaibie ndugu zenu

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
 
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
kuna jamaa alitumwa anunue kiwanja na kaka yake yupo mbali yeye akanunua kiwanja na majina akaweka yake ,kweli uaminifu ni thawabu na Mungu huwapenda waaminifu,na hawa ndugu wanaowatuma watu wao wa karibu kusaidia kusimamia mali wawe wanawasaidia unamtuma mtu hata hela y ahsante hutoi umebaki na fake promise za baadae
 
Back
Top Bottom