Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

B0E0C486-3A47-46DB-A1DE-6834AA9D7DF6.jpeg
uuuuuhps
 
Matatizo ya call center yote hufanana sio kwa kampuni yenu pekee. Mwenyewe nilienda field kampuni moja kubwa ina wateja wengi.
Sasa vile nilikuwa mgeni nilipata shida sana, nilikuwa napata stress kwa wateja mbumbumbu.
Customer service agent inabidi ujitoe kufanya kazi na vilaza/mburula/mbumbumbu/mafala wa mwisho kabisa.

Kuna siku nilipokea simu Msukuma mmoja yuko vijijini uko akaniuliza "nyinyi ndio Milard Ayo?" nikakataa na kushangaa. Supervisor akafikiria sana baadae akanambia kampuni imemlipa M. Ayo aitangaze. Msukuma kaona tangazo kwa Ayo ikawekwa namba ya simu yeye kapiga anang'ang'ania anataka kuongea nae huku akinimalizia talk time yangu.
 
Kama muda ni mchache mbona wale wadada huwa wanaongea kama wametoka kula kitimoto kilo
 
Jamaa wanastory Hadi sio poa,

Tena unakuta wamekupigia asubuhi mda wa kazi, then wanataka muongee zaidi ya dk 7

Ufala ule.
 
Watanzania wengi ni shida, hata uiweka namba kwenye bidhaa wanapiga simu wanauliza vitu vya ajabu sana. Wengine wanapiga simu hata saa nane usiku. Wengine wanapiga wanasema nilikuwa najaribu tu kama inapatikana. Yaani mtz ni mtu wa ajabu sana...
 
UKIONA KERO BASI ACHA KAZI urudi kulala nyumban kwa mume wa dada yako... Tatzo lenu WaTz wapuuzi mkipata kazi mnataka mgeuze kazini ni sehemu ya kupumzika... Mteja ni haki yake kukupigia cm hata kuulizia supu ya utumbo bei gani hapo DSTV... Mkiajiriwa mnataka mchezee laptops muingie mitandaoni tu kufanya kazi hamtaki ng'ombe nyie...
 
Utatatibu wa kubadili jina la decoder upoje, kunawatu nataka wawe free na DECODER niliyowaachia isome Majina yao au mpaka kununua tu nyingine
 
Mnajiita dstv wakati hata 24 simu yenu ya customer care haipatikani.............unalalamika sijui ooh watu wanapiga sana simu customer care ila na nyinyi ni wasumbufu pia........kunipigia simu kunikumbusha kama kifurushi kina isha kwani sijui?? Au kira kikiisha huwa mnalipia ninyi?? Aibu.........bado utasikia panda tukupandishe ..........sitaki jamani........nikilipia mambo ndio uwezo wangu huko kuwashwa huwa mnakutoa wapi kuwaambia lipia cha juu yake tukupe zaidi.......haya wale wa premier huwa mnawapandisha na nini wakilipia ?? Ngazi au lift??ooh kupokea simu 150 kazi .........muamala umesoma app yenu imeukata sasa kwanini tena nipige kwenu na tv haionyeshi??.............nyie ni wapigaji tu hamna lolote........mnarudia vipindi na movie mpaka mnatia kinyaa..........hizo mnet,room movie,na nyinginezo mnarudia movie mpaka mwanangu anakremisha maneno badirikeni hacheni mambo yenu.........
 
Back
Top Bottom