Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

-Yaani kitengo cha TV kiwe 24 hrs ? Akuna Africa nzima ila 24 hrs NI social media Tu..
-Kama utaki kupigiwa simu simple Tu piga simu waambie watoe namba ya simu uilosajilia kwenye decoder yako hutopigiwa simu kamwe..
-mteja mwenye primier anaoffer zake kama showmax yeye halipii.
-kutoonyesha NI decoder yako ndogo ushawahi sikia ubalozi WANAPIGA SIMU hawapati picha Wana decoder kubwa ( EXPLORER -430,000/= ) sasa ww decoder ya 20,000/= alafu unazima kuokoa umeme kila siku utapiga simu kuomba Huduma .
-kurudia vipindi hiyo me nakubali ila inategemea Una package ipi sasa wa primier unataka uwe na bomba 1750,000 Kwa mwezi muwe Sawa na 25000 Kwa mwezi sio kweli wa primier ana enjoy Dtsv ww angalia Huba na Jua Kali inakutosha
-mwisho Dstv NI ya mabosi
Ninayo mwaka wa 10 sasa hakuna jipya .........kama ni ubosi hata mimi pia ni boss.........sema bora kidogo dstv kuliko hayo makorokoro mengine.......uarabu mwingi kama tuko pemba..........atleast dstv udhungu mwingi............
 
Wana movie shida Kiarabu .na sidhani kama Wana Huduma ya parental control ...
Naona bado passion ya ucustomer care ipo kwa unavojibu japo umesema ushaacha kazi.

Pole sana na changamoto zilizokukuta.

Kiujumla hakuna kazi isiyokuwa na changamoto mkuu.
 
Back
Top Bottom