Mkisema Itavaliwa Mara 2, Pia Msisahau

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Mnapoleta porojo zenu, msisahau kusema pia ni jezi iliyowahi kuweka rekodi, yaani jezi ambayo imevaliwa mara 2 na ikaiingizia timu Billion 5 point, hapo Simba ana hasara gani?
 
Kama hautajali mtoa mada, ingependeza iwapo utaelezea kwa kirefu kuhusu kinachoendelea hadi Jersey ivaliwe mara 2 sijui imeingiza bilioni 5

Sio wote tunajua unachosimulia

Tuonee huruma sisi tuliopo huku Namanyele ndani ndani
 
Ongeza bidii kwenye kilimo ufanikiwe uje huku uache kuishi na tumbili
 
Kama hautajali mtoa mada, ingependeza iwapo utaelezea kwa kirefu kuhusu kinachoendelea hadi Jersey ivaliwe mara 2 sijui imeingiza bilioni 5

Sio wote tunajua unachosimulia

Tuonee huruma sisi tuliopo huku Namanyele ndani ndani
Inabidi ufanye utafiti ujue hiyo rekodi mkuu
 
Kama hautajali mtoa mada, ingependeza iwapo utaelezea kwa kirefu kuhusu kinachoendelea hadi Jersey ivaliwe mara 2 sijui imeingiza bilioni 5

Sio wote tunajua unachosimulia

Tuonee huruma sisi tuliopo huku Namanyele ndani ndani
Kabisa Mkuu. Sisi wa Wampembe mashambani huku hatujui kinachoendelea huko Daaar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…