Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Bahati mbaya mtoa mada mwenyewe ameamua kukimbia uzi wake.Kabisa Mkuu. Sisi wa Wampembe mashambani huku hatujui kinachoendelea huko Daaar!
Yaani watu wanatabia ya kuanzisha nyuzi bila kutoa taarifa kamili utasema wote wanajua anachoongelea 🙌