Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Oct 14, 2023 #21 Bila bila said: Kabisa Mkuu. Sisi wa Wampembe mashambani huku hatujui kinachoendelea huko Daaar! Click to expand... Bahati mbaya mtoa mada mwenyewe ameamua kukimbia uzi wake. Yaani watu wanatabia ya kuanzisha nyuzi bila kutoa taarifa kamili utasema wote wanajua anachoongelea 🙌
Bila bila said: Kabisa Mkuu. Sisi wa Wampembe mashambani huku hatujui kinachoendelea huko Daaar! Click to expand... Bahati mbaya mtoa mada mwenyewe ameamua kukimbia uzi wake. Yaani watu wanatabia ya kuanzisha nyuzi bila kutoa taarifa kamili utasema wote wanajua anachoongelea 🙌
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Oct 14, 2023 #22 Visit Kilimanjaro sijui ilivaliwa Mara ngapi