Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu.
Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote wa ccm kuweza kukemeana au kufikishana polisi au mahakamani.
Wanaomzunguka ndio wanaharamu wenzake aliochagua.