Mkishakuwa mnafanya biashara haramu hamuwezi kupelekana polisi wala mahakamani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu.

Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote wa ccm kuweza kukemeana au kufikishana polisi au mahakamani.

Wanaomzunguka ndio wanaharamu wenzake aliochagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…