Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

Mikwara bubu
 
Makimba matupuuu ,

Wa DRC walijifanya kudharau juhudi za UN na vikosi vyake hasa vya Tz, sasa iv naona M23 wame gain momentum FRDC hawana budi kuomba msaada
 
Makimba matupuuu ,

Wa DRC walijifanya kudharau juhudi za UN na vikosi vyake hasa vya Tz, sasa iv naona M23 wame gain momentum FRDC hawana budi kuomba msaada
Jipendekezeni kuwapa Msaada mkafe kama Kuku.
 
Daktari wa mirembe aliye mruhusu GENTA awe huru akamatwe haraka..
Wewe siku hizi umeshakuwa Mtani wangu na napenda mno unavyonipiga Madongo na kuna muda huwa yananiingia na nabaki Kuvunjika tu Mbavu zangu. Na nilujua tu kuwa utakuja katika huu Uzi wangu niliouanzisha Makusudi kabisa na Kimkakati zaidi.
 
Vimbwa koko ndio huwa vinabweka sana.

Wazungu wanaita defences mechanism.

Mikwala mingi sana.
Mkuu hiyo ( hii ) Avatar yako inanikumbusha mbali na isitoshe nampenda mno huyu ( huyo ) Pan Africanist aliyeuwawa Kikatili na CIA huku Wabelgiji na Hayati Mobutu na Kasavubu wakihusika 100% kwa Kuuwawa Kwake.
 
Wakongo Ni wapumbafu San kanch kadgo kanawanyima usingizi

Acheni kujichubua nendeni mkapige yule dogo
Cc: Fiston Mayele, Shaaban Djuma, Yannick Bangala, Jesus Ducapel Moloko na Chico Ushindi ambao ndiyo Wakongo wanaoongoza kwa 'Kujichubua' Tanzania na Afrika nzima.
 
Fanyeni kama mnajikuna.. kama hamjaichora chini mazafantah..[emoji23][emoji23][emoji23]

Huo soldier anapigwa tu na manzi yangu haitaji mwanaume yani kumnyonyoa
 
Yaani wa-TZ wakisikia tuu jina la Kagame wanakosa amani kabisa, kama kweli mna uwezo fanyeni kama walivyo fanya russia kwa ukraine, otherwise endeleeni kuumia moyo wakati mwamba na nchi yake wanatoboa, kaeni mkao wa kuliwa, na nyie siku yenu ipo,
 
Mwezi Mchanga kama kawaida yako.
Ashakum si matusi wahenga walipata kunena "kwenye maisha jitahidi sana kuficha ujinga wako"
 
Yaani wa-TZ wakisikia tuu jina la Kagame wanakosa amani kabisa, kama kweli mna uwezo fanyeni kama walivyo fanya russia kwa ukraine, otherwise endeleeni kuumia moyo wakati mwamba na nchi yake wanatoboa, kaeni mkao wa kuliwa, na nyie siku yenu ipo,
Kati ya Tanzania na Rwanda nani anamuhitaji mwenzie zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…