Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

Ngoja tumtafute MAJ GEN MWAKIBOLWA arudi msituni aendelee na mission yake bro tuone uimara wa RDF na UPDF
 
Poti hujaeleza kwa undani kiini na nini kinataka kupelekea hiyo vita, ila kwa uhalisia wananchi wa DRC ndiyo wanaandamana kushinikiza ugomvi a.k.a vita uanze kati ya DRC na R.

Wananchi wamechoka kuona, kusikia Kagame akihusika kuwaibia mali yao huku akiwaletea fujo wasielewane, wkt huo huo drc ikiwa mikononi mwa Rwanda kipindi cha rais 'Kanambe' aliyepita ambaye ni mnyarwanda.

Tutambue kuna chokochoko kubwa sana kutoka ndani na nje ya serikali ya Kinshasa kuhusu maamuzi ya kuingia au kuacha, japo wananchi wapo tayari kwa vita.

Afrika mashariki haipo tayari kushuhudia hili.
 
yana uimara gani hayo majeshi,yamegawanyika kwa ukabila,wenye pua za bamia wanawadharau wenye pua kama kitako cha baiskeli,vita bil umoja lazima ushindwe tu!! huko UGANDA kwenyewe wanainchi wamemchoka m7 na familia yake,au na wewe ni walewale nini?
 
Kagame ana jeshi la kumlinda yeye tu.Ni kama kipindi kile Mobutu alivyokuwa na jeshi la kumlinda yeye tu na si nchi.Rwanda kwenyewe watu wamenyamazishwa kwa hofu ya kagame lakini hakuna umoja wa kudumu.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Acha kuzunguka kiongozi,ww itaje tu hiyo nchi nasi tuifahamu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

AYO MAJESHI HAYAJAONA NCHI NYINGINE ZAIDI YA CONGO!!…
Anyway congo is a failed state!!!…
Nadhani kama ubabe wa kivita hizo nchi hazina zaidi ya kusimama nyuma ya waasi!!

RDF haiwezi shindana na jeshi la DRC…labda guerrilla war
 
Kila kitu unajua wewe,pua pua pua pua puaaaaaaaaaw
 
Hawaendi tu. Wanasubiria mandate ya UN kama kipindi kile. Hapo ndiyo moto unawashwa. Bahati mbaya UN iko busy na Ukraine.
 
Jamani eee Proved njooni mumuone intore militia wa kagame ndani ya jamii forum.
 
Aliyekuwa anasapoti waasi wa kihutu alikuwa senior kabila , tena kipindi cha second congo war kwa ajili ya kufuza uvamizi wa rwanda ndani ya congo.
Ila kwa sasa hakuna anayewasaidia waasi wa kihutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…