Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Sijui imevimbiwa maharage ya wapi wewe, Kagame ahofiwe na watanzania kwa kipi mbona hatuna hata habari naye tunamchukulia kama kiongozi wa nchi nyingine yeyote? Akijaribu kuleta fyoko fyoko atajibiwa accordingly.Yaani wa-TZ wakisikia tuu jina la Kagame wanakosa amani kabisa, kama kweli mna uwezo fanyeni kama walivyo fanya russia kwa ukraine, otherwise endeleeni kuumia moyo wakati mwamba na nchi yake wanatoboa, kaeni mkao wa kuliwa, na nyie siku yenu ipo,
Hilo lipo wazi mkuu, fuatilia post zake kipindi kile JWTZ inawachapa M23 alivyokuwa anaharisha humu jukwaani kwa kihoro.wewe ni mtusi au
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
Alikuwaga Kikwete sio MaguMagu alikomesha huo upuzi wa m 23
Kma unawapenda si olewa nao tuNa kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
sio magu,alikuwa kikwete bhana!!Magu alikomesha huo upuzi wa m 23
Ni mtusi tena M23 na mkimbizi toka gisenyi Rwandawewe ni mtusi au
HA ha ha ili kufanikiwa lazima upige goti, patamu hapoMkuu
Karemera rwigyema mazimpaka!!
Huwa mnajiabisha Sana!!
Au kwakuwa mmesikia Burundi inataka kuungana na ziwa nyanza!!?
Kwamba ndoto zenu za kuipindua Burundi zitakufa RASMI!kama zilivyokufa kipindi kile mlipomtumia Godfrod Neyombare!!?
Hamuwezi kuipindua NCHI yeyote ile bila kuuomba mzimu wa Mzee mchonga unaopakana ziwa nyanza!!Bila msaada wa huku hamuwezi hata hapo Rwanda mliingia KWA msaada wa HUKU!! Lazima mpihe magoti HUKU ndio mpate baraka ya kutwaa NCHI nyingine la sivyo hamtoweza!!
Msiwe mnakurupuka Mkuu!!
Huwezi fanikisha mipango KWA kumtukana mzazi aliekufikisha ulipo!!wote nyie ni ZAO la monduli lazima mpihe goti KWANZA KWA Baba ndio mpate baraka ya kupata malisho ya ng'ombe zenu za inyambo!!
Ni Hayo tu!!
Shiriki kibwagizo hiki;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!