Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

JAMANI CHONDE CHONDE KAGAME ANATUMA VIJANA WAKE KILA SOCIA MEDIA KARIBU ZOTE DUNIA ILI KUENEZA PROPAGANDA NA VITISHO KUHUSU RWANDA.
HATA HUMU NDANI WAPO SO NI VITU VYA KAWAIDA, WANAFUATILIA MPAKA HUMU HUYU GENTAMYCINE Mr Putin WOTE HAWA NI INTORE MILLITIA WA KAGAME
Una hapa nchi wanavyopeleka taarifa.
Screenshot_20220619-221648_Twitter.jpg
 
Yaani wa-TZ wakisikia tuu jina la Kagame wanakosa amani kabisa, kama kweli mna uwezo fanyeni kama walivyo fanya russia kwa ukraine, otherwise endeleeni kuumia moyo wakati mwamba na nchi yake wanatoboa, kaeni mkao wa kuliwa, na nyie siku yenu ipo,
Sijui imevimbiwa maharage ya wapi wewe, Kagame ahofiwe na watanzania kwa kipi mbona hatuna hata habari naye tunamchukulia kama kiongozi wa nchi nyingine yeyote? Akijaribu kuleta fyoko fyoko atajibiwa accordingly.
 
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.

Mbona uko backward hivo karne hii unaongelea ukabila??….
90 genocide haijakupa funzo!!!… kama ww n mnyarwanda na akili kisoda hivi Genocide kwenu haitaisha
 
Mkuu

Karemera rwigyema mazimpaka!!

Huwa mnajiabisha Sana!!

Au kwakuwa mmesikia Burundi inataka kuungana na ziwa nyanza!!?

Kwamba ndoto zenu za kuipindua Burundi zitakufa RASMI!kama zilivyokufa kipindi kile mlipomtumia Godfrod Neyombare!!?

Hamuwezi kuipindua NCHI yeyote ile bila kuuomba mzimu wa Mzee mchonga unaopakana ziwa nyanza!!Bila msaada wa huku hamuwezi hata hapo Rwanda mliingia KWA msaada wa HUKU!! Lazima mpihe magoti HUKU ndio mpate baraka ya kutwaa NCHI nyingine la sivyo hamtoweza!!

Msiwe mnakurupuka Mkuu!!

Huwezi fanikisha mipango KWA kumtukana mzazi aliekufikisha ulipo!!wote nyie ni ZAO la monduli lazima mpihe goti KWANZA KWA Baba ndio mpate baraka ya kupata malisho ya ng'ombe zenu za inyambo!!

Ni Hayo tu!!

Shiriki kibwagizo hiki;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!
 
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
Kma unawapenda si olewa nao tu
 
Ha h
Mkuu

Karemera rwigyema mazimpaka!!

Huwa mnajiabisha Sana!!

Au kwakuwa mmesikia Burundi inataka kuungana na ziwa nyanza!!?

Kwamba ndoto zenu za kuipindua Burundi zitakufa RASMI!kama zilivyokufa kipindi kile mlipomtumia Godfrod Neyombare!!?

Hamuwezi kuipindua NCHI yeyote ile bila kuuomba mzimu wa Mzee mchonga unaopakana ziwa nyanza!!Bila msaada wa huku hamuwezi hata hapo Rwanda mliingia KWA msaada wa HUKU!! Lazima mpihe magoti HUKU ndio mpate baraka ya kutwaa NCHI nyingine la sivyo hamtoweza!!

Msiwe mnakurupuka Mkuu!!

Huwezi fanikisha mipango KWA kumtukana mzazi aliekufikisha ulipo!!wote nyie ni ZAO la monduli lazima mpihe goti KWANZA KWA Baba ndio mpate baraka ya kupata malisho ya ng'ombe zenu za inyambo!!

Ni Hayo tu!!

Shiriki kibwagizo hiki;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!
HA ha ha ili kufanikiwa lazima upige goti, patamu hapo
 
Back
Top Bottom