Mkiwa ghorofani floo ya 10.

Mkiwa ghorofani floo ya 10.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani maongezi huwa ya tofauti sana:
#Tajiri kwa tajiri utasikia..
'Hapa kuna view nzuri sana'
#Masikini kwa masikini.
Utasikia..
Oi,"Ukipewa milioni 10 uruke hadi chini utaruka?
 
Biko wakinipa Hapa Milioni 100 zile naruka.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah.
Yaani maongezi huwa ya tofauti sana:
#Tajiri kwa tajiri utasikia..
'Hapa kuna view nzuri sana'
#Masikini kwa masikini.
Utasikia..
Oi,"Ukipewa milioni 10 uruke hadi chini utaruka?
 
Back
Top Bottom