Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani maongezi huwa ya tofauti sana:
#Tajiri kwa tajiri utasikia..
'Hapa kuna view nzuri sana'
#Masikini kwa masikini.
Utasikia..
Oi,"Ukipewa milioni 10 uruke hadi chini utaruka?
Nachukua milioni 10 naenda hospitali zinazobaki najenga gari na kununua nyumba.Huogopi kuvunjikavunjika miguu
Siwezi kufa nitapelekwa hospitali au nikifa familia yangu inabaki nazo.Haahahaaaa
Ukifa je..