Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒