Unaogopa kumegwa?Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? π
Umesema uko wapi mheshimiwa?Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? π
Huku ndo kunakufaa sasa, kule kwenye ssiasa achana nako ππ.Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? π
Nipo nasoma comments, huyo wako nadhan watakua ni mapacha na huyu wangu
Haumsugui vizuri
Ndio hvo kuna wengine wakiwa mbali ndio mapenzi yanapamba moto kila saa simu za i miss yuu, ila wakisha karibiana mapenzi yanapotea...
Ukiona hivo ujue kuna namna mmeingiliwa na mgeni, kama unaimani Omba au unaweza kwenda kuombewa kwa mtumishi unae mwamini..
Hiyo ndio ndoa mkuu,wanashindwaga hata kuigiza tu ili mambo yaende...Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.