Unajua kinachofanyika Gaza kitaleta matatizo kiasi gani na kuua familia nyingine nyingi hapo baadae ? Vita vya Ideologia havipiganwi kwa mabavu...; Kwa kumpa fodder Osama aliweza ku recruit watu hata ambao hajawahi kukutana nao wakabomoa Embassies za USA Tanzania na Kenya
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi magaidi wa kesho au magaidi wa leo kuweza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.