Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 283
- 760
Upo sahihi kabisa,pole pole ni mnafiki mkubwa aliyetolewa ndani ya system.Utekaji na kupotezwa vilianza enzi za Magufuli. Polepole alikuwa mwenezi wa chama. Kuna wakati alijitokeza kukebehi waliopotelewa na ndugu zao. Polepole hana uzalendo wowote, huenda kuna kundi lilikuwa nyuma yake ambalo walimuahidi kurejea jikoni kuendeleza upishi na ulaji wa keki ya Taifa. Lakini wamezidiwa nguvu/ujanja na the so called wahuni.
Unajiita "Xi jinping" sio?Waliopotea enzi za utawala wake kwa sababu ya kumkosoa, aliowaua, aliowateka na kuwapiga risasi huo nao ni uzalendo sio?
Azory Gwanda?
Huwa mna mdharau sana mtu anayemuona magu ndio blueprint ya mabaya yote tunayoyaona awamu hii, huwa nna wadharau mno watu wa dizaini yako.Kwa hiyo Tundu Lissu na Ben Saanane walikuwa wahuni ? Rais wa kwanza kuleta ukabila kwa kupendelea alipotoka wazi wazi Mama samia anaendeleza Nenda Unguja na pemba ukajionee. Magu alikuwa rais wa kwanza kujaza kabila lake serikalini tembea wilayani uangalie wazanzibari walivyojazwa katika wilaya mbalimbali bara.Magu alikuwa rais wa kwanza kuteua ndugu wa karibu katika baraza la mawaziri mama kamteua mkwe Mchengerwa kuwa waziri na sasa binti yake nae anagombea ubunge. Magu kashasaulika hadi na binti yake anaegombea viti maalumu. Aisee ubaya haulipi na wema hauozi. Yaani alichoanzisha Magubndio stndard ya marais wanaokuja.
I second you, japo hisia zangu zinaniambia bado wapo wachache ndani ya jeshi letu wanaoumizwa na yanayoendelea nchini hivi sasa, kitendo tu cha nahodha wa juzi kutoka vile adharani kinatupa picha kuwa jeshi letu bado lina wazalendoTOA HAO JWTZ KWAMBA NI WAZALENDO, HAO NI WACHUMIA TUMBO KAMA WENGINE TUU. KIUFUPI TANZANIA HATUNA JESHI LA WAZALENDO BAADA YA WALE WALIOPIGANA KAGERA, ILA TUNA WATU WALIOVAA NGUO ZA KIJESHI, WAOGA, WANAOJIFICHA KWENYE VIAPO VYA ******* VYA UTII KWA WANASIASA (WEZI).
WANGEKUWA WAZALENDO MPAKA MDA HUU WANGESHAMKATAMATA JK, SAMIA, ROSTAM, NA WEZI WENGINE, WANGESHAKOMESHA MAUAJI YA WATU NA UTEKAJI N.K KWA HIYO HATUNA JESHI LA WAZALENDO TUNA MIJAMAA TUU NA MADEMU IMEVAA SARE ZA KIJESHI. PTUUUUUUUH !!!
Fatuma Karume ni mzalendo kwa taifa lake la zanzibar... ndio maana ameamua kusacrifice credibility na popularity aliyokuwa nayo hili aweze kusupport utawala dhalimu wa mzanzibar mwenzie Samia ambao anajua wazi una maslahi makubwa kwa zanzibar.Huyo kama Fatuma karime tu
Polepole alikuwa ofisa wa serikali kipindi cha jpm? Kama sijakuelewaWaliopotea enzi za utawala wake kwa sababu ya kumkosoa, aliowaua, aliowateka na kuwapiga risasi huo nao ni uzalendo sio?
HP alikuwa moja ya maafisa waandamizi wa serikali ya Magu akiyashuhudia na kuyaunga mkono
Ben Saanane yuko wapi? Nani alimpiga risasi Lissu? Alphonce Mawazo, Azory Gwanda?
Two wrongs don't make rightKwa hiyo Tundu Lissu na Ben Saanane walikuwa wahuni ? Rais wa kwanza kuleta ukabila kwa kupendelea alipotoka wazi wazi Mama samia anaendeleza Nenda Unguja na pemba ukajionee. Magu alikuwa rais wa kwanza kujaza kabila lake serikalini tembea wilayani uangalie wazanzibari walivyojazwa katika wilaya mbalimbali bara.Magu alikuwa rais wa kwanza kuteua ndugu wa karibu katika baraza la mawaziri mama kamteua mkwe Mchengerwa kuwa waziri na sasa binti yake nae anagombea ubunge. Magu kashasaulika hadi na binti yake anaegombea viti maalumu. Aisee ubaya haulipi na wema hauozi. Yaani alichoanzisha Magubndio stndard ya marais wanaokuja.
Mimi nimekuletea facts sio uwongo njoo na ushahidi wako wa kumtetea Magu. Rais ambaye binti yake anasifia mitano tena 😂😂😂. Yaani mtu hadi familia yake ishamsahau. Wewe ndio unamkumbuka. Magu alikuwa rais wa wajinga watu wanaiba hela mpaka hazina ikadorora. Serikali ikashindwa kupandisha mishahara. Rostam akarudishwa ili kutengeneza Taifa ges kuongeza mzunguko wa hela.Huwa mna mdharau sana mtu anayemuona magu ndio blueprint ya mabaya yote tunayoyaona awamu hii, huwa nna wadharau mno watu wa dizaini yako.
Kwamba hizo ndio facts? Yaani hizi hivi vijimaneno vyako vya kijuha vilivyochanganyikana na chuki za kipumbav ndio unaita facts?Mimi nimekuletea facts sio uwongo njoo na ushahidi wako wa kumtetea Magu. Rais ambaye binti yake anasifia mitano tena 😂😂😂. Yaani mtu hadi familia yake ishamsahau. Wewe ndio unamkumbuka. Magu alikuwa rais wa wajinga watu wanaiba hela mpaka hazina ikadorora. Serikali ikashindwa kupandisha mishahara. Rostam akarudishwa ili kutengeneza Taifa ges kuongeza mzunguko wa hela.
Polepole alikuwa ofisa wa serikali kipindi cha jpm? Kama sijakuelewa
Unajiita "Xi jinping" sio?
Akishirikiana na viongozi waandamizi wa chama chake cha CCP kuna watu wengi waliokuwa wanaikosoa na kutoa siri za serikali wamepotezwa, je huyo Xi jinping naye hana uzalendo na taifa lake la China?
Uzalendo kwako ni nini? Na ni dosari gani zinamfanya kiongozi akose sifa ya kuitwa mzalendo?
Polepole alikuwa ofisa wa serikali kipindi cha jpm? Kama sijakuelewa
Hujui maana ya uzalendo!Waliopotea enzi za utawala wake kwa sababu ya kumkosoa, aliowaua, aliowateka na kuwapiga risasi huo nao ni uzalendo sio?
HP alikuwa moja ya maafisa waandamizi wa serikali ya Magu akiyashuhudia na kuyaunga mkono
Ben Saanane yuko wapi? Nani alimpiga risasi Lissu? Alphonce Mawazo, Azory Gwanda?
Huo unafiki! Unafikiri ukimkwamisha mzalendo anakuacha, thubutu. JPM alikuwa mzalendoJF yenyewe ilipitia kipindi kigumu kipindi cha jiwe muulize Maxence Melo
Hujui maana ya uzalendo!
Melo alimkwamishaje dikteta?Huo unafiki! Unafikiri ukimkwamisha mzalendo anakuacha, thubutu. JPM alikuwa mzalendo
Kwa mtazamo wa kijinga kama huo, sipotezi mudaMelo alimkwamishaje dikteta?