Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Kipindi Olimboka anatekwa ulikua unanyonya maziwa bado mbona wa bongo mna ubongo mwepesi sana kusahau
 
Huwa mna mdharau sana mtu anayemuona magu ndio blueprint ya mabaya yote tunayoyaona awamu hii, huwa nna wadharau mno watu wa dizaini yako.
wajinga sana tena wapumbavu wanasahau Olimboka alitekwa wakina Mgimwa wameuawa hawa jamaa wapumbavu Magu alikua mzalendo wa kweli na haiwezekani kubadilisha chochote
 
Kwanza jeska huwezi kumlaumu yeye anatumika tu bila yeye kujijua kama walivyomtumia Lissu wanamtandao ni hatari
 
Olimboka anatekwa ulikua unanyonya maziwa au ulikua kwenye kiunoni kwa Wazazi wako vipi mwangosi vipi Mgimwa mabomu ya Arusha tulieni
 
Lissu aliwahi kuwaambia kipindi flani bungeni kuwa ccm wanaona na kufurahi wao wapinzani wanashughulikiwa ila wakimalizwa wao (wapinzani) watageukiwa wao na kweli kina Nape na wenzake walishughulikiwa tazama Luhaga Mpina, January Makamba, Bashiru Ally, Polepole nk. Hakuna aliye salama mbele ya mwovu ukijaa kwenye njia yake hakuangalii hivyo kupaza sauti muhimu sana juu ya uovu.​
 
wajinga sana tena wapumbavu wanasahau Olimboka alitekwa wakina Mgimwa wameuawa hawa jamaa wapumbavu Magu alikua mzalendo wa kweli na haiwezekani kubadilisha chochote
Hawa jamaa wapumbav mno, yaani wao wanaamini maovu yote tunayoyaona yakifanywa na serikali hii ya sasa chanzo chake ni Magufuli....

Kwa maana nyingine wanatuambia bila Magufuli kutawala ile miaka mingine, basi serikali hii ya Samia isingekuwa inaua watu hivi, yaan ingekuwa ni serikali takatifu sana... yaani kana kwamba mzimu wa Magufuli ndio unateka na kuua watu.

Na pia vile vile hawa jamaa wanatuambia kuwa serikali ziliopita huko nyuma kabla ya 2015 tangu uhuru hazijawahi kabisa kufanya ya kutisha, matukio ya kutisha yamefanywa na wamu ya tano na ya sita tu.. wapumbav kweli hawa.

Kwanza mara nyingi huwa wanaonekana kuisema serikali ya magufuli zaidi kuliko serikali ya samia, tafsiri yake ni kwamba hawaumizwi kabisa na unayanyasaji,ufisadi na wizi unafanywa na awamu hii... tafsiri yake ni kwamba yawezekana hawa ni wanufaika wa mfumo uliopo sasa.
 
Kwanza mtu yoyote anae tumia Uovu kualalisha Ouvu mwingine huyo ni Mpumbavu na ni lofa JF kuna wapumbavu na malofa wengi sana humu
 
Kwanza mtu yoyote anae tumia Uovu kualalisha Ouvu mwingine huyo ni Mpumbavu na ni lofa JF kuna wapumbavu na malofa wengi sana hu
 
Olimboka anatekwa ulikua unanyonya maziwa au ulikua kwenye kiunoni kwa Wazazi wako vipi mwangosi vipi Mgimwa mabomu ya Arusha tulieni
Kikwete alijaza wakwere serikalini na usalama wa Taifa ? Kikwete alimweka ndugu yake katika baraza la mawaziri? Hao walitekwa wachache Kikwete aliowateka na kupoteza hawajazi noah (hawafiki 12). Niletee listi ya Kikwete nikuletee ya Magu acheni kutetea ujinga. Ndio maana na sema magu alikuwa rais wa wajinga na wavivu kufikiri. Magu ndio aliyeanzisha anachoendeleza Samia.
 
Narudia tena kwa herufi kubwa "MAGUFULI NDIE ALIYAOWANYESHA WATU UTAMU WA KUWA RAIS" Ni rais gani aliyeanzisha mtindo wa kujaza watu wa kabila lake serikalini ? Ni Rais gani aliyeanzisha kupendelea alikotoka kimaendeleo mpaka kujenga uwanja wa kutua ndege kubwa ,hospitali ya rufaa, chuo cha veta, tawi la banki CRDB, Hifadhi ya mbuga, nyumba za NHC N.k? Mimi sitetei ujInga huyu alikuwa rais wa wajinga na wavivu kufikiri. Hata binti yake ameshamsahau yupo na mama. Hii tu inaonyesha tulikuwa na rais wa aina gani. Alichoanzisha Magu ndio standard ya marais wanaokuja.
 
Kwanza mtu yoyote anae tumia Uovu kualalisha Ouvu mwingine huyo ni Mpumbavu na ni lofa JF kuna wapumbavu na malofa wengi sana hu
Mimi sihalalishi uovu ninachosema ni kuwa "tatizo sio Rais tatizo ni mfumo" . Mimi nilikuwa napingana na pole pole hapo. Magu alianzisha standard mpya za urais kwa hio bila katiba mpya maris wajao watafanya mabaya zaidi.
 
Nakuhakikishia Magu asingeongoza hii nchi hicho kikosi cha kuteka na kupoteza watu kingetoka wapi ? Acheni kutetea ujinga CCM mmeshindwa kufanya maamuzi kwa sababu hamtaki kukubali kuwa magufuli ndiye aliyeanzisha huu ukatili. Hata Polepole ame sacrifice maisha yake kwa objective ya kijinga. Polepole angepambania katiba mpya angekumbukwa na taifa. Lakini mtu anakuja na kupamba kuwa sheria za chama hazijafatwa. Huyu atasahaulika ndani ya wiki mbili. CCM walitakiwa wajikatae polepole aelezee mabaya ya Magu, kusogeza uchaguzi na ku-demand katiba mpya. Sasa mtu anaacha kazi halafu anakuja na utumbo wa kusema Samia aachie ngazi na uchaguzi ifanyike. Huyu jamaa kafia tamaa za tumbo lake na sio nchii. Hii ndio tofauti ya Pole pole na Tundu Lissu.
 
Umeandika upumbavu mtupu, haya endelea kuona serikali zilizopita huko nyuma zilikuwa serikli takatifu, na serikali ya Samia ni takatifu tena sana tu haipaswi kabisa kulaumiwa kwa tukio lolote la kikatili inalolifanya.

Naamini siku wakikuteka wewe kisha wakakufira na kukutupa mtaroni, lawama zote utazipeleka kwa huyo Magu na kisha hao wafiraji wako utawaona hawana kosa.. maana ndivyo jinsi akili yako inavyo reason.

Mimi siko ccm wala chadema, ila huwa sipendezwi tu na ujinga na kila nikiuona lazima niukemee..!!

Watu wanaishi kwa hofu na wanawaza wataondokana vipi na hii serikali dhalimu ya samia, wewe uko hapa unaleta hekaya za magufuli, tena umekaza pumbu kabisa unashuka essay ndeefu ambazo between the lines unaitetea serikali ya muuaji Samia.. una akili wewe?

Kwamba kwa yanayoendelea sasa hivi basi tuacha kudeal na Samia kisha twende Chato tukamfukue Magufuli ndio tumuadabishe sio? Tumuulize kwanini amemuua Mdude, Ally Kibao na Soka si ndio maanake? Si ndio unachokimaanisha?

Kubwa jinga wewe, akili yako haina akili.. unanichosha tu hapa kwanza.
 
Mimi sihalalishi uovu ninachosema ni kuwa "tatizo sio Rais tatizo ni mfumo" . Mimi nilikuwa napingana na pole pole hapo. Magu alianzisha standard mpya za urais kwa hio bila katiba mpya maris wajao watafanya mabaya zaidi.
Ni ajabu sana mpumbavu kuandika upumbav tena akiwa na confidence, unajiona una akili kumbe umejaza mavi kichwani badala ya ubongo...

Unasema haulalishi uovu kwa uovu na wakati kwa maelezo yako una mu excuse Samia na matendo maovu yanayofanywa na serikali yake kwa kumtaja Magufuli kuwa yeye ndio alianzisha huo mfumo... sasa huko sio kuhalalisha maovu kwa maovu?

Kama Samia ameweza kufurumusha ile mnayoiita sukuma gang, ameshindwa nini kuondoa hicho unachokiita "mfumo wa wauawaji"???

Kwamba huo mfumo una mnufaisha ila hana control nao kisa cha kuuondoa?

Hivi unajua hata unachokiandika lakini mbwa kachoka wewe?

yaan Mdude kanyakuliwa akiwa na familia yake, mwaka huu halafu wewe unaacha kuwatafuta watu waliomteka, kisha unaanza kutupa lawama kwa mtu ambaye hayupo?

Kama kuna jambo la maana uliongea tangu umeanza kuandika upumbavu wako kwenye hii mada ni hapo mwisho nilipo bold.
 
P Hauwezi kutaka katiba mpya na kumtetea Magufuli. Hivi vitu ni maji na mafuta. Samia ana makosa sawa. Lakini tatizo ni mfumo sio mtu. Mtanzania mzalendo namba moja ni Tundu Lissu. Huyu Polepole amefia njaa na sio objective ya taifa. Hata Polepole angeanza na haya mambo yameanza lini na kuna future gani katika uongozi wa nchi hii. Polepole amgeanza na kusema tatizo ni mfumo na uchaguzi usogezwe mbele leo hii samia angekuwa ameshaachia ngazi.
 

..huo uzalendo wake walizingatia vigezo gani? Au ukubwa wa makalio yake?
 
Umewasahau Kabudi na Bashiru Kakuru
wameshidwa kutoa tamko kuwambia polepole yuko wapi kama ni propaganda za kumchafua mama Samia polepole kajiteka waseme Kabudi Bashiru na Butiku hawa wana mawasilano na Polepole watoke waseme watulize hii taharuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…