Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USILALE ni jina langu halisi. Kumbe wewe ndo ulinena eti ajira ni Feburuar! Ngoja niwaite uliowadanganya wakunyoe kiduku!Kitu kingine, wewe ulie leta uzi, unadanganya jina na avata, MUNGU akusamehe kwa kutudanganya.
Mko wapi mlionena eti ajira za walimu 2013/14 ni Jan au Feb? Bado saa kiduchu kumaliza Februar! Mungu awasamee kwa uongo wenu! Mnadanganya umma wa Mungu! Haya njoo na kauli nyingine.