Mko wapi mliosema ajira zitatoka mwezi huu

Mko wapi mliosema ajira zitatoka mwezi huu

USILALE

Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Mko wapi mlionena eti ajira za walimu 2013/14 ni Jan au Feb? Bado saa kiduchu kumaliza Februar! Mungu awasamee kwa uongo wenu! Mnadanganya umma wa Mungu! Haya njoo na kauli nyingine.
 
jina lako 'USILALE' mbona sasa umelala? juzi K.MAJALIWA ameleta matumaini mapya kwa walimu wapya, sio tetesi bali ni habari kutoka gazeti la chama tawala CCM! Kwa hyo hatuhtaji tetesi tena pitia gazeti la UHURU la jana ili uamke!
 
Kitu kingine, wewe ulie leta uzi, unadanganya jina na avata, MUNGU akusamehe kwa kutudanganya.
 
Kitu kingine, wewe ulie leta uzi, unadanganya jina na avata, MUNGU akusamehe kwa kutudanganya.
USILALE ni jina langu halisi. Kumbe wewe ndo ulinena eti ajira ni Feburuar! Ngoja niwaite uliowadanganya wakunyoe kiduku!
 
Mko wapi mlionena eti ajira za walimu 2013/14 ni Jan au Feb? Bado saa kiduchu kumaliza Februar! Mungu awasamee kwa uongo wenu! Mnadanganya umma wa Mungu! Haya njoo na kauli nyingine.

Tatizo lenu baadhi ya walimu hamtaki kuambiwa ukweli mnajifariji kwa vitu ambavyo haviwezekani. Mkiambiwa serikal haina hela za kuajiri mnaanza kutoa matusi haya.sasa endeleen kudanganyana!!!
 
Back
Top Bottom