Mkoa gani hapa Tanzania unaweza kuoa kwa gharama nafuu

Mkoa gani hapa Tanzania unaweza kuoa kwa gharama nafuu

Mikoa ya pwani wewe azima gari mkodishe Bill Lugano wa JF awe dereva wako,hapo beba mazagazaga kama kiroba cha unga wa ngano,mafuta ya kula lita 5,kiroba cha mchele,kibao cha kukunia nazi,kiroba cha maharage,halafu mama mkwe mnunulie dera la msomali la sh.elfu 25...hapo unawezapewa hata wake wawili,yaani kwa zawadi ulizobeba utaonekana wewe ni Bill Gates
 
Back
Top Bottom