HONEST HATIBU
Member
- Aug 19, 2020
- 63
- 153
Kwa kina Mwijaku hapo BurundiHivi ni mkoa gani hapa Tanzania unaweza oa kwa gharama nafuu
Burundi kwa mbeleKilimanjaro
Andika Mkeka wao unakuajeKilimanjaro
Pwani maeneo gani ?Kma muislam ni pwani
Wengi hawafanyi sherehe ni mwendo wa jioni jioni asubuhi wanapika chai kwa waume zao πππ
Kila la kheri kwake
Pwani bagamoyo, ukimnunulia vocha ya voda ya buku mama mkwe unapewa mke!Hivi ni mkoa gani hapa Tanzania unaweza oa kwa gharama nafuu
Pwani maeneo gani ?
HahahaPwani bagamoyo, ukimnunulia vocha ya voda ya buku mama mkwe unapewa mke!