Mkoa gani mzuri wa kuanzia life hapa bongo?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?
 
Mkuu unakaribia kumaliza chuo nini aise
karibu sana uraiani aise maisha kama kawa yako expensive
Ila mkuu ni budget yako tuu hata hapa Arusha waweza ishi aise ni kujipanga tuu
 
Simiyu mkuu, gunia la viazi elfu 9, nyumba self contained, 3 bed rums elfu 25 kwa mwezi. Wewe tu, sisi wenzako tupo huku kitambo
 
Mh, kaka upo???????
 
mbeya,sumbawanga na songea, bila kusahau loliondo huku halmashauri ya wilaya ya ngorongoro
 
Simiyu mkuu, gunia la viazi elfu 9, nyumba self contained, 3 bed rums elfu 25 kwa mwezi. Wewe tu, sisi wenzako tupo huku kitambo

Mkuu Simiyu tena
Duh huuko hapana aise
Msimu wa ukame unakuwa ukame kweli
Na maji ni km 10 tena kw apunda tena ya kisima
Sema anawez apata pata samaki wa pale Magu mitaaya Lamadi hivi
 
Nenda ukaishi katika mikoa inayoyotwa Big Four, Morogoro, Iringa, Mbeya na Ruvuma watu wanalima sana na vitu bei cheee hasa ukiwa wilayani.
 
Mkuu unakaribia kumaliza chuo nini aise
karibu sana uraiani aise maisha kama kawa yako expensive
Ila mkuu ni budget yako tuu hata hapa Arusha waweza ishi aise ni kujipanga tuu

mkuu,arusha noma!!
 
Mkuu,arusha kwa mshahara kama huo ataumia sana,unless awe mjasiliamali kaka
 
Simiyu mkuu, gunia la viazi elfu 9, nyumba self contained, 3 bed rums elfu 25 kwa mwezi. Wewe tu, sisi wenzako tupo huku kitambo

huko c ndio naskia maji mnaenda kuchukua umbali wa 50km tena na punda..??nataka atleast town.
 
Nenda ukaishi katika mikoa inayoyotwa Big Four, Morogoro, Iringa, Mbeya na Ruvuma watu wanalima sana na vitu bei cheee hasa ukiwa wilayani.
Nasikia hata Tanga si babaya wakuu,ya kweli haya...
 
Senetor acha uoga wa maisha,komaa maisha popote watu wapo dsm au arusha na wanapush hummer na vogue usiogope!
 
mkuu,arusha noma!!

Mkuu,arusha kwa mshahara kama huo ataumia sana,unless awe mjasiliamali kaka

Wakuu kuna watu wanajaribu sana kuisema Arusha kuwa maisha ya hapa yako juu
Ni kweli kuwa maisha ya hapa yako juu ila sio kihivyo sana
Ni namna ya kwako ya kuishi na kujipanga
Kweli maisha yako juu ila ukijipanga mambo yanaenda tuu
 
Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?

Haujawai kusikia mtu analala na njaa ndani ya paris ufaransa?--Babu Inspector Haroun
 
Nenda ukaishi katika mikoa inayoyotwa Big Four, Morogoro, Iringa, Mbeya na Ruvuma watu wanalima sana na vitu bei cheee hasa ukiwa wilayani.

dah!!atleast morogoro.vp kuhusu dodoma na mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…