Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?
Mkuu unakaribia kumaliza chuo nini aise
karibu sana uraiani aise maisha kama kawa yako expensive
Ila mkuu ni budget yako tuu hata hapa Arusha waweza ishi aise ni kujipanga tuu
Simiyu mkuu, gunia la viazi elfu 9, nyumba self contained, 3 bed rums elfu 25 kwa mwezi. Wewe tu, sisi wenzako tupo huku kitambo
Mh, kaka upo???????
Mkuu,arusha kwa mshahara kama huo ataumia sana,unless awe mjasiliamali kakaMkuu unakaribia kumaliza chuo nini aise
karibu sana uraiani aise maisha kama kawa yako expensive
Ila mkuu ni budget yako tuu hata hapa Arusha waweza ishi aise ni kujipanga tuu
Nasikia hata Tanga si babaya wakuu,ya kweli haya...Nenda ukaishi katika mikoa inayoyotwa Big Four, Morogoro, Iringa, Mbeya na Ruvuma watu wanalima sana na vitu bei cheee hasa ukiwa wilayani.
mkuu,arusha noma!!
Mkuu,arusha kwa mshahara kama huo ataumia sana,unless awe mjasiliamali kaka
Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?
Haya ni ya kweli kaka,lakini ni kwa mshahara wabox tano mkuu!Senetor acha uoga wa maisha,komaa maisha popote watu wapo dsm au arusha na wanapush hummer na vogue usiogope!
Mkuu nipo aise
Huku Hungumalwa kwetu sasa hivi tunavuna mpunga full harufu aise