Mkoa gani nje ya Dar naweza kufanya kilimo cha mboga na matunda?

Cleverman324

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
389
Reaction score
631
Wasalam wadau,

Naomba mawazo yenu. Binafsi nimekuwa mid town hunter kitambo Sina ujanja wa kutosha kuhusu haso za nje ya Dar, sasa naomba ushauri wenu kuhusu location nzuri ya haso za uhakika nje ya jiji la Dar kwa mtaji wa mil 7+

Natamani nijue eneo nitakapoweza kufuga na kufanya kilimo cha mboga na matunda.

NAOMBA MSAADA WENU SANA
 
nenda mbeya,mbarali kata ya igurusi au kapunga

kuna fursa nyingi sana kule huwa nashauri sana watu waende kule maana nimeona mabroo kibao wakitoboa kule

lakini mindeset ya muafrica atazania kwakuwa mimi kule ni nyumbani basi nakupigia promo sio kweli ni vile naona watu wakifanikiwa
 
wengine watauliza kwanini wewe haupo uko ....jibu ni moja bado sina mtaji
 
Natamani eneo ambalo lipo karibu na soko ambalo ni dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…