Mkoa gani unafaa kwa kilimo 100%

Mkoa gani unafaa kwa kilimo 100%

Alafu kingine anatakiwa ajue ya kwamba sehemu yenye rutuba hakuna Soko la mazao. Labda kama ana target ya kupeleka mjini DSM, Mwanza, Zanzibar, arusha na sehemu ya majiji na sio uku kwy rutuba hakuna wanunuzi na wanunuzi ni choka mbaya
Penye neema hakunaga maendeleo watu hufikiria kula tu.
 
Jitahidi na hiyo 1.4 isije ikaisha maaana uliuza nyumba ukafanye biashara ya mkaa!!!! Nakushauri nenda Doma ukalime nyanya miezi 3 tu unaingia sokoni.
Mkuu ww umesha wahi kulima doma maaana huwa nikipita na basi pale naona nyanya zakutosha
 
Back
Top Bottom