dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Nilikaa wiki tu nikanyoosha mikono juuKwakweli Maisha ya Dodoma yanatunyosha haswa, bila 3,600 (kilo ya mchele) hujala Wali, Bei ya Parachichi 3,000.
3,000 nikienda kwa wakwe Kidengyembe - Njombe napata debe la parachichi.
Ukishaitaja Mtwara usiisahau lindi ya moto sanaDodoma
Arusha
Geita
Mtwara
ewe mwenyekiti, sabuni nazo zilikuwa bei gani?Nilikaa wiki tu nikanyoosha mikono juu
Ni hatari mkuu, Ila kumbi za starehe zinajaa balaa. Unajiuliza watu wanapata wapi fedha. Kuna usemi unasema "Usisme hatuna hela, sema sina hela"Nilikaa wiki tu nikanyoosha mikono juu
Dar kawaida, dagaa Mchele buku, nyanya 200, kitunguu 100, ahh dona kisado imeisha hiyo.Nadhani kwa Dar mngetaja na maeneo kabisa.
Vinginevyo mnaionea bure kwa ku generalize.
Wanasema ukikuta wenyeji wako wanachutama basi na wewe uchutame kama wao. Niliwahi kula ngozi ya ng’ombe kama supu 😁😁 (Mtwara hii). Ilibaki kidogo niijue ladha ya chamaki nchanga.Ukishaitaja Mtwara usiisahau lindi ya moto sana
Hata ukiangalia masoko mengi ya vyakula, bei zao ni cheap.Dar kawaida, dagaa Mchele buku, nyanya 200, kitunguu 100, ahh dona kisado imeisha hiyo.
Wafata mkumbo tu.Hata ukiangalia masoko mengi ya vyakula, bei zao ni cheap.
Sasa hao wanaosema bei juu watuambie ni wapi huko, isije ikawa wao kila manunuzi wanafanya Mlimani City
kwa jinsi UTI ya UDOM ilivyo chachamaa kule hata sabuni sikuziaminiewe mwenyekiti, sabuni nazo zilikuwa bei gani?
Mkoa wa ZanzibarMkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?
Ulitumia super glue 🔥kwa jinsi UTI ya UDOM ilivyo chachamaa kule hata sabuni sikuziamini
Sio kweli utkw unaishi geita ya ujerumaniMikoa yote wanakochimba madini maisha ni ghali sana...Geita wali na maharage shs 5,000 wakati kule kwa wadigo Tanga wali maharage sh. 1,000
.
.