Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?

Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?

Hivi nani kashawahi kufika Jambiani unguja?
Kuna maeneo nchi hii yan ukifika tu unapata hisia za dhiki hta kma una hela mfukoni
 
Dodoma,wafanyabiashara wana ongeza sana bei za vitu bila uhalisia wa quality na Serikali ipo tu kuiaachia soko huria.
 
Eti Dodoma sa hivi hadi local beer mtaani kwenye vigrocey ni 2500-stupid kabisa
 
Kwa mtumishi wa umma au mtu anaepokea salary ni vizuri kukwepa mkoa wenye gharama kubwa, its relevant

Ila kwa watafutaji, Mkoa unaoongoza kwa gharama kubwa za maisha ni ule ambao huwezi kupata hela kirahisi ya kumudu vitu hata kama vina bei rahisi.

Kwa mtafutaji nikiulizwa mkoa gani una gharama kubwa za maisha kati ya Songea na Dar nitamsahisha alieniuliza arekebishe swali liwe mkoa upi una uhakika wa kumudu maisha, Dar ni rahisi zaidi kuyamudu maisha kuzidi Songea, mzunguko wa pesa ni mkubwa, hata ukiuza barafu una uhakika wa kuendesha maisha yako.

siwezi kusema ni mikoa kiujumla ila sehemu ambazo zina uhakika wa kumudu maisha ni

DAR city
MWANZA City
MBEYA City
ARUSHA city
KAHAMA
Dodoma

Ndio maana vijana wengi wanakimbilia hizi sehemu kutafuta maisha na wapo wengi wanaotoboa kuzidi hata wenyeji
 
Mkoa unaoongoza kwa gharama kubwa za maisha ni ule ambao huwezi kupata hela kirahisi ya kumudu vitu hata kama vina bei rahisi.

Nikiambiwa mkoa gani una gharama kubwa za maisha kati ya Songea na Dar nitamsahisha alieniuliza arekebishe swali liwe mkoa upi una uhakika wa kumudu maisha, Dar ni rahisi zaidi kuyamudu maisha kuzidi Songea, mzunguko wa pesa ni mkubwa, hata ukiuza barafu una uhakika wa kuendesha maisha yako.

siwezi kusema ni mikoa kiujumla ila sehemu ambazo zina uhakika wa kumudu maisha ni

DAR city
MWANZA City
MBEYA City
ARUSHA city
KAHAMA
Dodoma

Ndio maana vijana wengi wanakimbilia hizi sehemu kutafuta maisha na wapo wengi wanaotoboa kuzidi hata wenyeji
Tunapozungumzia gharama za maisha kati ya mkoa X na Y,tunaangalia gharama za upatika aji huduma na bidhaa kwa vitu basic kama nyumba,mavazi,chakula na usafiri kwa vigezo hivyo hakuna mkoa unauzidi Dodoma-hasa Dodoma CBD.
Moja ya sababu ya Dodoma kuwa na maisha ya ghari ni kutokana na vipato,90% ya wakazi wa Dodoma mjini ni Watumishi wa Serikali -ambao ni watu wa vipato vya kati na juu.
 
Wanaosema Arusha nadhani hawajazunguka hilo jiji vizuri. Sehemu kama sombetini, shauri moyo, ungalimited, enaboishu, ngaramtoni, olasiti, kisongo na mwanama kote huko maisha ni rahisi sana ukiwa na buku 2 unakula siku nzima. Vyumba single vipo mpaka vya 15k.
Mhhh... Arusha ipi hiyo yenye chumba cha 15000/=??? Kwasbb hata panapoitwa Mtaa wa Wasambaa vyumba vya matope ila elfu 25 bei
 
Ukiona sehemu maisha gharama ujue na pesa ipo
 
Tunapozungumzia gharama za maisha kati ya mkoa X na Y,tunaangalia gharama za upatika aji huduma na bidhaa kwa vitu basic kama nyumba,mavazi,chakula na usafiri kwa vigezo hivyo hakuna mkoa unauzidi Dodoma-hasa Dodoma CBD.
Moja ya sababu ya Dodoma kuwa na maisha ya ghari ni kutokana na vipato,90% ya wakazi wa Dodoma mjini ni Watumishi wa Serikali -ambao ni watu wa vipato vya kati na juu.
Vipi wakinga na wabena nao wanauza bei ghali?
 
Watu wanatajataja tu ila Dar haiwezi kuwa na maisha ghali.

Wakati Dec 2025 Dar Petrol ilikuwa 2,749/Lita huko kanda ya ziwa eg Kagera ni 3000/lita.

Vifaa vya ujenzi Dar ni kitonga tofauti ya hadi 5000/mfuko mmoja wa cement.

Shinyanga inayosafirisha ng'ombe kwenda Dar kilo ni 12,000 sawa tu na Dar,hivyohivyo kwa bei ya Sato na Sangara.

Huo ughali mnaupimaje?
 
Back
Top Bottom