Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,334
- 2,938
Tunapozungumzia gharama za maisha kati ya mkoa X na Y,tunaangalia gharama za upatika aji huduma na bidhaa kwa vitu basic kama nyumba,mavazi,chakula na usafiri kwa vigezo hivyo hakuna mkoa unauzidi Dodoma-hasa Dodoma CBD.Mkoa unaoongoza kwa gharama kubwa za maisha ni ule ambao huwezi kupata hela kirahisi ya kumudu vitu hata kama vina bei rahisi.
Nikiambiwa mkoa gani una gharama kubwa za maisha kati ya Songea na Dar nitamsahisha alieniuliza arekebishe swali liwe mkoa upi una uhakika wa kumudu maisha, Dar ni rahisi zaidi kuyamudu maisha kuzidi Songea, mzunguko wa pesa ni mkubwa, hata ukiuza barafu una uhakika wa kuendesha maisha yako.
siwezi kusema ni mikoa kiujumla ila sehemu ambazo zina uhakika wa kumudu maisha ni
DAR city
MWANZA City
MBEYA City
ARUSHA city
KAHAMA
Dodoma
Ndio maana vijana wengi wanakimbilia hizi sehemu kutafuta maisha na wapo wengi wanaotoboa kuzidi hata wenyeji
Mhhh... Arusha ipi hiyo yenye chumba cha 15000/=??? Kwasbb hata panapoitwa Mtaa wa Wasambaa vyumba vya matope ila elfu 25 beiWanaosema Arusha nadhani hawajazunguka hilo jiji vizuri. Sehemu kama sombetini, shauri moyo, ungalimited, enaboishu, ngaramtoni, olasiti, kisongo na mwanama kote huko maisha ni rahisi sana ukiwa na buku 2 unakula siku nzima. Vyumba single vipo mpaka vya 15k.
Vipi wakinga na wabena nao wanauza bei ghali?Tunapozungumzia gharama za maisha kati ya mkoa X na Y,tunaangalia gharama za upatika aji huduma na bidhaa kwa vitu basic kama nyumba,mavazi,chakula na usafiri kwa vigezo hivyo hakuna mkoa unauzidi Dodoma-hasa Dodoma CBD.
Moja ya sababu ya Dodoma kuwa na maisha ya ghari ni kutokana na vipato,90% ya wakazi wa Dodoma mjini ni Watumishi wa Serikali -ambao ni watu wa vipato vya kati na juu.