Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

Nimegundua. Kumbe rangi ya weupe ndio urembo!
Maana Mnataja kwa weupe tu.
Kuna Lindi kwao PM wamwera, kuna wangindo, kuna wahangaza, ukija kwetu iringa, ukienda Mara kuna wanata na waikoma,Moro kuna wapogolo, Tabora mboka kwa wanyamwezi. Nenda Kgoma .
Nenda ufipani (mix ya Zambia,Kongo Burundi).
 
Mkuu urembo ni mwonekano bila kujali rangi
 
babu tarime ni hatari niliopoa mke huko ni shida
 
Sumbawanga ni kwetu,kiukweli hakuna warembo.. usije ukawaacha watu wakaamini kua kuna warembo,sehemu zenye warembo ni mikoa ya kaskazini mfano:Arusha,Manyara na katikati ya nchi kama Singida.
Sumbawanga kuna warembo mm naishi huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…