DAR ES SALAAM Huku kuna miksa ya warembo kutoka mikoa yote TZ
Ndio dar inaongoza kwa warembo
Unajua kila mwanamke..anaweza kuonekana au kujiona mrembo lakini sio wote wanaweza kuwa simply WANAWAKE WAZURI
WANAWAKE wazuri hata bila kipodozi hajifichi
Singida,Bukoba ;mara;arusha ,kilimanjaro,tanga etc
Na sio uzuri tu tunaangalia .....kwani bado kwa wanawake wazuri na wanaojua mahaba na wasio na makuu kwenye uhongaji wako Tanga ....huwa hawana haraka na mwanume
Wanawake Majambazi wako Dar hao hata hujanywa maji ukamaliza itakuwa Birthday yake ,kodi imeeisha ,anauguliwa ,kafiwa....hapo ni nje ya sina voucher,sina airtime ,babe sijala ...babe guess what @huwezi amini kuna magauni...yamepita...oooh send off....oooh chixken..party ooooh babe shower
Uuuuuwi Take me oooh godi!!#